Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Jun 2, 2024 #41 mbenge said: Lazima kutakuwa na shida, kwa maana kwa siku za hivi karibu haijawahi kutokea. Lakini suala la utoaji wa taarifa kwa wakati kutoka katika uongozi wa TANESCO, hicho sasa ni kipengele kingine! Click to expand... Ni mwezi sasa Mbagala unakatwa mara tatu kwa wiki, huenda fundi Maiko anahusika.
mbenge said: Lazima kutakuwa na shida, kwa maana kwa siku za hivi karibu haijawahi kutokea. Lakini suala la utoaji wa taarifa kwa wakati kutoka katika uongozi wa TANESCO, hicho sasa ni kipengele kingine! Click to expand... Ni mwezi sasa Mbagala unakatwa mara tatu kwa wiki, huenda fundi Maiko anahusika.