Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

Hapa wanawake ndio waathirika wakubwa wakuonewa huruma thamani yao imeisha. Cha msingi sisi wanaume tuwazalishe tuwachukue watoto wetu tuwape bekitatu watulelee na huyohuyo bek3 mara moja moja ukijisikia unakula
Haya ndio maamuzi ya kipuuzi zaid kama yataamuliwa na wengi kama nyie.
 
Wazungu wa nchi zipi wenye ndoa za mkataba?
 
Mtoa mada nakupa hongera Sana umeeangalia kila Kona ya ndoa

Kwa mtu ambaye hayajamkuta utaonaa hii mada Haina maana
Mkuu nakupongeza kwaa dhati kabisa umenipa kitu adhimu mkuu .
 
Sio kweli!Kuporomoka kwa maadili kwa kasi na wanawake kupenda kuwa sawa na wanaume kumewafanya wanaume wengi kuogopa ndao.Hakuna mwanaume anaye penda kuwa sawa na mwanamke au kutawaliwa na mwanamke in any way.
 
Tutakuja kuanza kununua mwanamke akuzalie tu kuliko kuishi nae ndani mwanamke unaweza mpa kila kitu lakini akachit kitu ambacho kinawachanganya vijana wengi matokeo yake wanaishia kuishi kibachela na kutafuta mtoto tu
 
Ila ukipata mwanamke uliyepangiwa na Mungu maisha ni raha sana. Angalia kumbikumbi wanavyoheshimiana wakiwa mke na bwana.
 
Na wengi hawajui madhara ya zinaa..moja ya madhara ni Ufukara,magonjwa.Malipo hapa hapa kwa wanao,Na bado siku ya hesabu utapata malipp yako maovu
 
We jamaa una MADINI hakika. Mada zako mara nyingi zinatembea kwenye maisha halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…