DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
ROBERT HERIEL hupo huu Uzi bora sana kama hupo dsm Kesho njoo Liquid nikununulie Juice ya zabibu mkuu
awe makini Mana ngerengere unachofanyaga sikuelewagi au kwenu tununguo paleNiko DSM Mkuu
Duuhh kweli hatari yaani.Kiukweli hali ni mbaya mno huku mtaani,, wanawake tumekuwa wepesi na rahisi sana
Wengi hatuna thamani machoni pa wanaume[emoji22] inafikia hatua mtu anajilipia mahari, hali sio aisee
Naona huu Uzi kama kakuandika wewe.Leo nasoma TU comments
Umeandika kwa hisia sana na kuoneshwa kukerwa sana pole nduguKiukweli hali ni mbaya mno huku mtaani,, wanawake tumekuwa wepesi na rahisi sana
Wengi hatuna thamani machoni pa wanaume[emoji22] inafikia hatua mtu anajilipia mahari, hali sio aisee