Hakuna Urafiki Kati ya Mwanamke na Mwanaume..
View attachment 3226990
Kama Mwanamke Wako Ana Rafiki Wa Kiume, Achana Naye..
Wanawake Kuna Kipindi Wanakua Wadhaifu na Wanalijua ili..
Siku Ukimkorofisha Anajua Ni Sehemu Gani Atapata Faraja. Atakazwa Tu.
Huu Ndo Ukweli Wazee..