Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

Ni utetezi wa Kijinga na kutafuta justification ya uzembe wa serikali ya Tanzania.
Exactly, huo ni uzembe tuu maana kama ishu ni uwingi wa watu huko India mbona China ni wengi pia lakini usafiri wao ni bora? Hapa kwetu, niliwahi kusema kwamba huwezi kujenga barabara za mwendo kasi kwa mabilioni ya fedha halafu eti uweke kampuni moja, ambayo haina hata Buses 500 mpaka 1000 ndiyo ifanye kazi peke yake. Hii ni ku underutilize hizo barabara. Ilitakiwa watu binafsi wenye mabus makubwa yenye vigezo waruhusiwe nao kubeba abiria. Yaani kuwepo hata kampuni 3 au zaidi ili washindane. Kuwe mpaka na buses za express au VIP zenye nauli tofauti ili watu wawe na choices mbalimbali.
 
Hapo serikali inajua kibaraka wao atalamba mchanga fasta. Yani interest ya 10% wamei tie na huyo mwekezaji wao wa UDART.

Wanajua wakizipa kampuni binafsi leseni ya kutumia hio njia ni swala la mwezi tu hamna mtu atakuwa anasogelea hizo basi zao za blue zenye matangazo kila upande. Wawape tu jamaa wa special hire wale waingize coaster zao za level seat uone.

Mapato yao yatashuka by 100% na hata kulipa mishahara ya wafanyakazi wao wazembe hawataweza kuyapata.
 
Mumbai ina watu 24 mil, na india ina watu bilion 1.5..Dar ina watu 5 mil,
 
Comment yako inaonyesha jinsi ulivyo mweupe kichwani. An existing dimwit ever!
 
Mfano wako hauakisi kinachotokea Dar. Na haupaswi kuhalalisha uzembe na ubadhilifu unaofanywa na mwendo kasi. Kwa nini usitolee mfano wa China na nchi za magharibi?
Umesoma title yake lakini? Au umeenda moja kwa moja kwenye picha na video yake? Ngoja nikukumbushe alichosema:

"Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania"

Sasa nirudi kwako kukuuliza. Je, Mumbai haipo duniani?
 
Hatari kweli kweli..
 
Pambaneni tu,mlitusimanga daladala zetu ziondolewe njia za mjiilni
 
Aliyepewa nafasi kwenye hiyo wizara hatoshi anafaa kujiondoa, ingekuwa enzi za Mwendazake leo tungesikia reshuffle
Kwamba mwendokasi wakati wa magufuli ilikuwa fully huduma safi au? Huyo mzee aliwaroga akili zenu
 
Sijaelewa,kwahiyo nasisi iwe ivyo au?
 
Uzi unazungumzia abilia halali wanalipa nauri alafu pesa Yao wenyewe inawatesa Kwa sababu uzembe wa serikali

Wewe umeweka picha ya vibaka wa India ambao hawataki kulipa nauli wanadandia treni

Ni kwamba haujaelewa au wewe ni kilaza?
 
Nyie c ndio mkimuona mtu anagari mnaanza kuponda , mara kigari chenyewe cha mkopo, mara ist nayo gari , Aya sasa kuleni chuma hicho
Kwa hali ya sasa ya usafiri hata mwenye pikipiki mbovu anaheshimika mkuu🀣
 
Hivi, mabasi ya mwendokasi yanatumia AC?

Acha ukorofi wee Ngosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Uje nikutembeze mwendokasi tuzunguke ruti zote, ukichoka nakupeleka ukale mihogo Coco Beach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…