Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze.
Ukweli ni kwamba, hakuna 50/50 kwenye akili ya mwanamke, ni either uwe umemzidi kwa mbali akupe hadhi yako ya uanaume au mlingane akushushe hadhi. Kwa tasfiri ya mwanamke, mwanaume ambae amelingana nae uyo yupo chini yake.
Mfano una kipato cha milioni 1 basi mwanamke wa hadhi yako ni yule mwenye kipato cha laki 3 kushuka chini au ambae hana kipato kabisa. Mwanamke mwenye kipato cha milion 1 kama wewe uyo ni wa hadhi ya juu yako.
Hata kwenye masuala mengine kama umri, mwanamke wa miaka 22 anajiona matured match wake mwanaume ambae yupo 30+, sio yule 22 kama yeye. Hio ndio saikolojia ya mwanamke.
Ndio maana hata hizi movememt zao za 50/50 ukizichambua kimantiki utaona wanachopigania sio usawa, wanapigania kuwa juu ya mwanaume maana kwa mwanamke kuwa sawa na mwanaume ni sawa na uyo mwanaume kuwa chini yake.
Unapoingia kwenye meaningfull relationship kwa usalama zaidi akikisha umemzidi mwanamke kila kitu kwa mbali sana. To a woman either you are above her or below her, not her equal.
Utakapoona kuna haja ya kumwezesha basi fanya hivyo mpaka kufikia level ambayo hawezi kukukaribia mfano wewe una degree umekutana na mwanamke std 7 msomeshe QT miaka miwili ishia hapo hapo. Jichanganye kumsomesha mpaka degree kama wewe ndio utajua hujui.
She will start comparing you to her work colleagues on how they are so ambitious than you. This is the point when she wants to dictate and be decisive in all of arguments between you and her because in her eyes now she is more intelligent than you. What next? 3 months no sex.
Mwanamke anavyozidi kupanda ngazi kielimu au kiuchumi ndivyo anazidi kupoteza hekima na sifa za kuwa mke mwema. Unatakiwa kujua saikolojia yetu wanaume ni tofauti na ya wanawake. Mwanaume akitoboa wazo lake la kwanza ni kumuhudumia mkewe, mwanamke akitoboa wazo lake la kwanza ni kumwondoa mwanaume kwenye maisha yake. Wawezeshe wanaume 100 utaziinua familia 100. Wawezeshe wanawake 100 utazibomoa familia 95.
Kama wazazi wake wameshindwa kumwezesha basi huo sio wajibu wako. Don't empower a woman, be selfish, only put your interests first. It's not inferiority complex its wisdom.
Always remember, nice men will get used, ruthless men will get respected.