Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Mkuu ushapata ajiraa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..una akili nyingi mno ww!Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze.
Ukweli ni kwamba, hakuna 50/50 kwenye akili ya mwanamke, ni either uwe umemzidi kwa mbali akupe hadhi yako ya uanaume au mlingane akushushe hadhi. Kwa tasfiri ya mwanamke, mwanaume ambae amelingana nae uyo yupo chini yake.
Mfano una kipato cha milioni 1 basi mwanamke wa hadhi yako ni yule mwenye kipato cha laki 3 kushuka chini au ambae hana kipato kabisa. Mwanamke mwenye kipato cha milion 1 kama wewe uyo ni wa hadhi ya juu yako.
Hata kwenye masuala mengine kama umri, mwanamke wa miaka 22 anajiona matured match wake mwanaume ambae yupo 30+, sio yule 22 kama yeye. Hio ndio saikolojia ya mwanamke.
Ndio maana hata hizi movememt zao za 50/50 ukizichambua kimantiki utaona wanachopigania sio usawa, wanapigania kuwa juu ya mwanaume maana kwa mwanamke kuwa sawa na mwanaume ni sawa na uyo mwanaume kuwa chini yake.
Unapoingia kwenye meaningfull relationship kwa usalama zaidi akikisha umemzidi mwanamke kila kitu kwa mbali sana. To a woman either you are above her or below her, not her equal.
Utakapoona kuna haja ya kumwezesha basi fanya hivyo mpaka kufikia level ambayo hawezi kukukaribia mfano wewe una degree umekutana na mwanamke std 7 msomeshe QT miaka miwili ishia hapo hapo. Jichanganye kumsomesha mpaka degree kama wewe ndio utajua hujui.
She will start comparing you to her work colleagues on how they are so ambitious than you. This is the point when she wants to dictate and be decisive in all of arguments between you and her because in her eyes now she is more intelligent than you. What next? 3 months no sex.
Mwanamke anavyozidi kupanda ngazi kielimu au kiuchumi ndivyo anazidi kupoteza hekima na sifa za kuwa mke mwema. Unatakiwa kujua saikolojia yetu wanaume ni tofauti na ya wanawake. Mwanaume akitoboa wazo lake la kwanza ni kumuhudumia mkewe, mwanamke akitoboa wazo lake la kwanza ni kumwondoa mwanaume kwenye maisha yake. Wawezeshe wanaume 100 utaziinua familia 100. Wawezeshe wanawake 100 utazibomoa familia 95.
Kama wazazi wake wameshindwa kumwezesha basi huo sio wajibu wako. Don't empower a woman, be selfish, only put your interests first. It's not inferiority complex its wisdom.
Always remember, nice men will get used, ruthless men will get respected.
kabisa mkuuMleta mada una upeo mkubwa sana wa saikolojia ya mwanamke ,kwa kiasi kikubwa umekuwa mwalimu na umetufungua mengi sana ambayo tulikua tunayaona ila tulikua hatuyajui au tulikua tumeambiwa kwa lugha isiyo rahisi.
Ni vile tu bahati mbaya kwetu tunasikia kwa sikio hili na kutokea sikio lile lakini yalitufaa sana maandiko yako
Madini ya kokotoIla wewe jamaa andika kitabu kabisa. Una Madini Mengi Mno
Unataka akulipe usepeMkuu ushapata ajiraa??
Kazi yangu hapa ni kufungua code vijana waone ukweli halisi. Atakaeamua kufanya maamuzi mapema na atakaeamua kusubiri mpaka apigwe na tofali la utosi kwanza, wote watavuna walichopanda.Mleta mada una upeo mkubwa sana wa saikolojia ya mwanamke ,kwa kiasi kikubwa umekuwa mwalimu na umetufungua mengi sana ambayo tulikua tunayaona ila tulikua hatuyajui au tulikua tumeambiwa kwa lugha isiyo rahisi.
Ni vile tu bahati mbaya kwetu tunasikia kwa sikio hili na kutokea sikio lile lakini yalitufaa sana maandiko yako
Unataka kusemajeMkuu ushapata ajiraa??
Mwezeshe kwa kiasi ambacho hawezi kukufikia. Ukiruhusu akukaribie mtasumbuanapoint 100%, wanawake sio wakuwatendea wema kwa 100%, ni viumbe wabinafsi sana.
Unidirection whaaaat?😆😆😆😆Mkuu kwakeli umeongea ukweli mtupu. Binafsi ninachezea za uso kwa angle nyingi ulizo ziongelea. Ila nna subiri avuke mstari mwekundu nitumie siraha yangu pendwa ya unidirection nature of decision.
Hata kwenye familia nimeona mtoto wa kike akifanikiwa na akawa na familia, basi ataangalia watoto wake tu na si vinginevyo. Labda itokee apate ujukuu napo atajishughulisha. Lakini kwamba abebe jukumu la ndugu zake wengine, huwa ni nadra sana. Tofauti na watoto wakiume. Labda mtoto wa kiume apate mwanamke mwenye roho mbaya ndipo anaweza asikimbuke ndugu zake mbali na watoto wake
Irreversible decision no vikao no suluhu.Unidirection whaaaat?😆😆😆😆
Vijana wanataka waonekane gentlemen ndio maana wanawake wanapata ujasiri wa kuwaendesha. Mimi baada ya kaka angu kufariki familia iliniachia jukumu la kumlea mtoto wake kwa kipindi hicho alikia darasa la 5.huyo ni mppuuzi tu, mke vovote atakavyokuwa anapata wapi nguvu za kumzuia mume kutekeleza majukumu yake ya familia? matatizo hapo yao kwa jamaa tu mke kisingizio
📌📌📌Na mwenye macho na asome!!!Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze.