Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Sio Kweli Whatsapp inadukuliwa sana hapa Tanzania. Tumia Telegram tu
Hakuna Cha telegram Wala Nini ukigusa maswala tishio kwa Usalama wa nchi unadakwa .Wakikwambia huku ndio safe ndiko rahisi kudakwa.Wabakupa false hope

Cha msingi tumia mitandao vizuri ukitumia vibaya unalo.Sababu iwe WhatsApp au telegram wenyewe huhojiwa kabla kuruhusiwa kuwa mna mitigation gani Kama mhalifu au gaidi akitaka kutumia mitandao yenu.Wanajieleza na how to track them Kisha wanasema kwenye public kuwa huu wetu ni very safe lakini only safe kwa mtu asiyehatarisha Usalama wa nchi.Ukihatarisha wao wanakuwa wa kwanza kuuza picha!!! Sababu kunakuwa na secret contact Kati ya nchi na wamiliki ku allow at a fee of course.

To be safe epuka uhalifu na ugaidi nobody will touch you anywhere in the world
 
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.

Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.

Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwa hiyo wewe unajuwa hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe?

Halafu unasema "popote duniani"!

Unao uelewa kiasi gani wewe hadi kufanya hitimisho kama hilo.
 
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.

Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.

Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Mwaka 2015, Desemba 2 Syed Rizwan Farook akishirikiana na mke wake waliua watu 14 katika mji wa San Berbadino, California Marekani na baadae wenyewe kuuawa katika mapigano na polisi. FBI walipokagua nyumba yao walikuta simu aina ya Iphone 5C ambayo walishindwa kuifungua. Wakaiomba kampuni ya Apple iwasaidie kuifungua. Apple ikakataa. FBI wakawapeleka Mahakamani ambako Apple wakashindwa. Apple wakasema watakata rufaa, na sababu walioitoa ni kuwa wakiwakubalia FBI wateja wao watakosa imani nao. Kesi haikuendelea kwa sababu FBI walisema wamefanikiwa kuifungua.

Tunachojifunza hapa ni kuwa nchini Marekani Kampuni ya biashara binafsi hailazimiki kushirikiana na serikali katika masuala ya mawasiliano na serikali inabidi kupata ridhaa ya Mahakama ili ipate ushirikiano. Na hata Mahakama ikikubali Kampuni inaweza kukata rufaa. Kwa Marekani, faragha ya raia ni sacrosant hata pale usalama wa jamii unapohatarishwa.

Kwa hicho kipaumbele chako sio cha dunia nzima kama unavyotaka kutuaminisha.

Amandla...
 
..... Tena nakumbuka FBI walifaulu baada ya kusaidiwa na kampuni moja ya kiteknolojia ya mawasiliano ya Israel.
 
Mtu mmoja ambae alishasajiri laini akaingia mkataba na mtandao wa simu kuwa wasivujishe taarifa zake ajitokeze hapa.

Jambo lingine, Mtu mmoja tu ajiulize sauti zake na sms zinahifadhiwa kwajili ya nini?

Mimi navyo fahamu taarifa hizo uhifadhiwa kwajili ya usalama tu na amna namna nyingine Mimi kama mteja au kampuni husika inanufaika na izo voice au sms
 
Mwaka 2015, Desemba 2 Syed Rizwan Farook akishirikiana na mke wake waliua watu 14 katika mji wa San Berbadino, California Marekani na baadae wenyewe kuuawa katika mapigano na polisi. FBI walipokagua nyumba yao walikuta simu aina ya Iphone 5C ambayo walishindwa kuifungua. Wakaiomba kampuni ya Apple iwasaidie kuifungua. Apple ikakataa. FBI wakawapeleka Mahakamani ambako Apple wakashindwa. Apple wakasema watakata rufaa, na sababu walioitoa ni kuwa wakiwakubalia FBI wateja wao watakosa imani nao. Kesi haikuendelea kwa sababu FBI walisema wamefanikiwa kuifungua.

Tunachojifunza hapa ni kuwa nchini Marekani Kampuni ya biashara binafsi hailazimiki kushirikiana na serikali katika masuala ya mawasiliano na serikali inabidi kupata ridhaa ya Mahakama ili ipate ushirikiano. Na hata Mahakama ikikubali Kampuni inaweza kukata rufaa. Kwa Marekani, faragha ya raia ni sacrosant hata pale usalama wa jamii unapohatarishwa.

Kwa hicho kipaumbele chako sio cha dunia nzima kama unavyotaka kutuaminisha.

Amandla...
Akikusoma Trump atakucheka sana.

Anyway katika mazingira ya dunia ya bandia nimekuelewa vizuri!
 
Naona mleta mada kakupa 'like', lakini sina hakika kama ameelewa ulichoeleza hapo, ambao ndio ukweli wenyewe.

Hawa wanadai "duniani kote" bila ya kujua wanachokiandika.

Kwa kukosa kwao uelewa, hawaelewi kwamba kinachosemwa hapa ni kuwa serikali ya huko Marekani haikusanyi taarifa zinazohusu maswala hatarishi kama haya, hasa baada ya mkasa ule wa 9/11 kwa kutumia njia zake yenyewe. Lakini isichoweza kufanya ni ujambazi kama huu unaotumiwa hapa kwetu, na akina 'johnthebabstisti' kujitokeza kuwa ndio wajuwaji haki za watu zinaishia wapi.
 
Akikusoma Trump atakucheka sana.

Anyway katika mazingira ya dunia ya bandia nimekuelewa vizuri!
Inaonyesha wazi uelewa wako wa alichoandika hapo ni mdogo sana. Huna unalojuwa kabisa kuhusu kinachofanyika Marekani kama alivyokieleza hapo. Wewe unarukia tu kusema 'Trump', huku huelewi kilichoandikwa. Trump hakuwa na uwezo wowote juu ya mahakama ya huko, ukamlinganisha na Magufuli hapa kwetu.

Kabla ya kung'ang'ania jambo usilokuwa nalo ufahamu wowote, jaribu kuelewa wanachokieleza wengine.
 
Magufuli alipata wepesi kwa sababu Tanzania hakuna Upinzani bali kuna kuna waganga njaa wanaoitegemea CCM hiyo hiyo kulisha familia zao.

Mfano wa njaa za Wapinzani ni wale wabunge wa 19 wa Chadema wakiongozwa na kamanda mbobezi Halima James Mdee.

Narudia tena hakuna usiri wowote kwenye mawasiliano na ndio maana Kigogo sasa yuko CCM siyo Chadema tena.
 
Udukuzi ni tofauti na kampuni ya simu ku provide information bila search warrant.
Leo ndio nimeamini pro CCM ni vilaza wa kutupwa.
Tatizo ambalo wenye akili tunahoji ni kwa vipi inawezekana kampuni kutoa taarifa za mteja kwa "anayejiita polisi/afisa usalama" pasi kujiridhisha kwa amri ya mahakama!!!
Yaani kumbe inawezekana kupata taarifa za ndugu X kwa kuwa tu mimi ndugu Y ni afande/mwanausalama!!???
 
Nimesoma mabandiko ya watu ambao wanasapoti ujinga wa mleta uzi. Nimegunduwa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Hili ni tatizo kubwa sana. Yani ni viazi wahed.
Ni viazi +++++++++++++.
Nimesikitika sana kugundua kuwa kuna idadi kubwa sana ya viazi + vilaza ++ waliopo JF ambao ni pro serikali na pro CCM.
Hii ni hatari kwa usalama wa taifa letu kuwa na idadi kubwa namna hii ya vilaza+++ tunaoamini wameona milango mingi ya vyumba vya kujifunzia.
Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom