chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Ww jamaa acha upumbavu.hivi unaishi zama za kina nyerere au dunia ya sasa.?Hakuna faragha mbele ya serikali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww jamaa acha upumbavu.hivi unaishi zama za kina nyerere au dunia ya sasa.?Hakuna faragha mbele ya serikali!
Hahahaaaa....... Wewe raia tii sheria bila shuruti!Ujinga tuuu.sheria mtunge wenyewee na kuzifuata hamtakii.huku mkitaka wenzenu kufuata sheria.
Ukaburu tuu.
Hata kama ni kweli, kumtumia mtu 500,000 ni kosa ni ugaidi? kuna form Mbowe alijaza kuwa hii pesa ya ugaidi?Ukiwa na jambo lako zito na muhimu bora upande gari uende kwa mdau muongee ana kwa ana.
Huyo ni rika akina NdugaiWw jamaa acha upumbavu.hivi unaishi zama za kina nyerere au dunia ya sasa.?
Naishi zama za Utandawazi ndio maana nakuambia hakuna siri kwenye mitandao ya simu!Ww jamaa acha upumbavu.hivi unaishi zama za kina nyerere au dunia ya sasa.?
Ujinga ndioo mmeulaza hapooo.Hahahaaaa....... Wewe raia tii sheria bila shuruti!
Sheria ni msumeno.Ujinga ndioo mmeulaza hapooo.
Hakuna Cha telegram Wala Nini ukigusa maswala tishio kwa Usalama wa nchi unadakwa .Wakikwambia huku ndio safe ndiko rahisi kudakwa.Wabakupa false hopeSio Kweli Whatsapp inadukuliwa sana hapa Tanzania. Tumia Telegram tu
Kwa hiyo wewe unajuwa hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe?Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
End To End Encrypted. Not even the WhatsApp personnel can access the subscriber's information.Ukipiga kwenye watsap hawadukui kuna usalam
..... Tena nakumbuka FBI walifaulu baada ya kusaidiwa na kampuni moja ya kiteknolojia ya mawasiliano ya Israel.Mwaka 2015, Desemba 2 Syed Rizwan Farook akishirikiana na mke wake waliua watu 14 katika mji wa San Berbadino, California Marekani na baadae wenyewe kuuawa katika mapigano na polisi. FBI walipokagua nyumba yao walikuta simu aina ya Iphone 5C ambayo walishindwa kuifungua. Wakaiomba kampuni ya Apple iwasaidie kuifungua. Apple ikakataa. FBI wakawapeleka Mahakamani ambako Apple wakashindwa. Apple wakasema watakata rufaa, na sababu walioitoa ni kuwa wakiwakubalia FBI wateja wao watakosa imani nao. Kesi haikuendelea kwa sababu FBI walisema wamefanikiwa kuifungua.
Tunachojifunza hapa ni kuwa nchini Marekani Kampuni ya biashara binafsi hailazimiki kushirikiana na serikali katika masuala ya mawasiliano na serikali inabidi kupata ridhaa ya Mahakama ili ipate ushirikiano. Na hata Mahakama ikikubali Kampuni inaweza kukata rufaa. Kwa Marekani, faragha ya raia ni sacrosant hata pale usalama wa jamii unapohatarishwa.
Kwa hicho kipaumbele chako sio cha dunia nzima kama unavyotaka kutuaminisha.
Amandla...
Akikusoma Trump atakucheka sana.Mwaka 2015, Desemba 2 Syed Rizwan Farook akishirikiana na mke wake waliua watu 14 katika mji wa San Berbadino, California Marekani na baadae wenyewe kuuawa katika mapigano na polisi. FBI walipokagua nyumba yao walikuta simu aina ya Iphone 5C ambayo walishindwa kuifungua. Wakaiomba kampuni ya Apple iwasaidie kuifungua. Apple ikakataa. FBI wakawapeleka Mahakamani ambako Apple wakashindwa. Apple wakasema watakata rufaa, na sababu walioitoa ni kuwa wakiwakubalia FBI wateja wao watakosa imani nao. Kesi haikuendelea kwa sababu FBI walisema wamefanikiwa kuifungua.
Tunachojifunza hapa ni kuwa nchini Marekani Kampuni ya biashara binafsi hailazimiki kushirikiana na serikali katika masuala ya mawasiliano na serikali inabidi kupata ridhaa ya Mahakama ili ipate ushirikiano. Na hata Mahakama ikikubali Kampuni inaweza kukata rufaa. Kwa Marekani, faragha ya raia ni sacrosant hata pale usalama wa jamii unapohatarishwa.
Kwa hicho kipaumbele chako sio cha dunia nzima kama unavyotaka kutuaminisha.
Amandla...
Naona mleta mada kakupa 'like', lakini sina hakika kama ameelewa ulichoeleza hapo, ambao ndio ukweli wenyewe.Mwaka 2015, Desemba 2 Syed Rizwan Farook akishirikiana na mke wake waliua watu 14 katika mji wa San Berbadino, California Marekani na baadae wenyewe kuuawa katika mapigano na polisi. FBI walipokagua nyumba yao walikuta simu aina ya Iphone 5C ambayo walishindwa kuifungua. Wakaiomba kampuni ya Apple iwasaidie kuifungua. Apple ikakataa. FBI wakawapeleka Mahakamani ambako Apple wakashindwa. Apple wakasema watakata rufaa, na sababu walioitoa ni kuwa wakiwakubalia FBI wateja wao watakosa imani nao. Kesi haikuendelea kwa sababu FBI walisema wamefanikiwa kuifungua.
Tunachojifunza hapa ni kuwa nchini Marekani Kampuni ya biashara binafsi hailazimiki kushirikiana na serikali katika masuala ya mawasiliano na serikali inabidi kupata ridhaa ya Mahakama ili ipate ushirikiano. Na hata Mahakama ikikubali Kampuni inaweza kukata rufaa. Kwa Marekani, faragha ya raia ni sacrosant hata pale usalama wa jamii unapohatarishwa.
Kwa hicho kipaumbele chako sio cha dunia nzima kama unavyotaka kutuaminisha.
Amandla...
Inaonyesha wazi uelewa wako wa alichoandika hapo ni mdogo sana. Huna unalojuwa kabisa kuhusu kinachofanyika Marekani kama alivyokieleza hapo. Wewe unarukia tu kusema 'Trump', huku huelewi kilichoandikwa. Trump hakuwa na uwezo wowote juu ya mahakama ya huko, ukamlinganisha na Magufuli hapa kwetu.Akikusoma Trump atakucheka sana.
Anyway katika mazingira ya dunia ya bandia nimekuelewa vizuri!
Magufuli alipata wepesi kwa sababu Tanzania hakuna Upinzani bali kuna kuna waganga njaa wanaoitegemea CCM hiyo hiyo kulisha familia zao.Inaonyesha wazi uelewa wako wa alichoandika hapo ni mdogo sana. Huna unalojuwa kabisa kuhusu kinachofanyika Marekani kama alivyokieleza hapo. Wewe unarukia tu kusema 'Trump', huku huelewi kilichoandikwa. Trump hakuwa na uwezo wowote juu ya mahakama ya huko, ukamlinganisha na Magufuli hapa kwetu.
Kabla ya kung'ang'ania jambo usilokuwa nalo ufahamu wowote, jaribu kuelewa wanachokieleza wengine.
Leo ndio nimeamini pro CCM ni vilaza wa kutupwa.Udukuzi ni tofauti na kampuni ya simu ku provide information bila search warrant.
Ni viazi +++++++++++++.Nimesoma mabandiko ya watu ambao wanasapoti ujinga wa mleta uzi. Nimegunduwa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Hili ni tatizo kubwa sana. Yani ni viazi wahed.