Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
-
- #241
Wewe ambaye umekuwa na unayeijua dunia na maajabu yake umeweza hata kuwa na utajiri wa kumfikia Bakhressa?Bado haujakuwa wewe, hauijui dunia na maajabu yake.
Naweza kuwa naongea na mtoto ambaye bado hajaijua dunia hii ilivyo na inavyojiendesha. Nikijua umri wako nitakujibu kulingana na rika/umri ulionaoUmri wangu hauna msaada wowote kwako.
Jenga hoja jikite kwenye mada.
Kama huwezi. You can leave this thread.
Kuwa uyaone nduguHapa nimegundua shida ipo kwenye imani ya dini yako na sio uchawi
Mama yako sio mchawi bali anatibu kupitia tiba asilia yani miti shamba huo ugonjwa upo tu siku ukikoma na tiba itakuwa imeishia hapo au zikigundulika dawa nyingine eneo hilo au vinginevyo
Haitoshi kurelate tiba anayotoa bi mdashi na utajiri wa nguvu za giza
Hakuna utajiri wa nguvu za giza ni imani za masikini juu ya matajiri ndio maana wote wanaosema upo wanashindwa kutoa mifano ni nani duniani ana utajiri wa kichawi hakuna
Kila kitu katika universe hii kuna positive na negative. I.e dark and light, male and female, tall and short, wet and dry.Umri wangu hauna msaada wowote kwako.
Jenga hoja jikite kwenye mada.
Kama huwezi. You can leave this thread.
Hio lugha mnaitumia wengi humuKuwa uyaone ndugu
Siwezi kutumia nguvu kubwa kubishana na mtu ambae hana maalifa yakutosha zaid ya mihemko.Wewe ambaye umekuwa na unayeijua dunia na maajabu yake umeweza hata kuwa na utajiri wa kumfikia Bakhressa?
Kama unajua kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina nenda kautumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos au Billgates.
Wewe si unajifanya kuijua dunia, Sasa niambie ni nchi gani iliyo tajirika kwa nguvu za kichawi, kishetani au kishirikina?Naweza kuwa naongea na mtoto ambaye bado hajaijua dunia hii ilivyo na inavyojiendesha. Nikijua umri wako nitakujibu kulingana na rika/umri ulionao
Niambie na thibitisha ni tajiri gani mkubwa duniani alifanikiwa kwa uchawi na ushirikina?Siwezi kutumia nguvu kubwa kubishana na mtu ambae hana maalifa yakutosha zaid ya mihemko.
Usipoteze muda wako kubishana na shankupe hilo. Mashankupe yako mengi humu, hilo ndo kiongoz lao.Siwezi kutumia nguvu kubwa kubishana na mtu ambae hana maalifa yakutosha zaid ya mihemko.
Kweli kabisa mkuu.Usipoteze muda wako kubishana na shankupe hilo. Mashankupe yako mengi humu, hilo ndo kiongoz lao.
Safi kabisa. Aseme umri wake hapa, kama ana miaka zaidi ya 20 nakunya mdomoni kwake.Naweza kuwa naongea na mtoto ambaye bado hajaijua dunia hii ilivyo na inavyojiendesha. Nikijua umri wako nitakujibu kulingana na rika/umri ulionao
Makazi duni, Elimu duni, Huduma mbovu za kijamii.Kwanza kigezo Cha mtu kuitwa maskini ni kipi, ni akiwa na chini ya sh ngapi? Na kuwa tajiri ni kuanzia sh ngapi?
Hilo ndio jibu hata Ukatae,Hata shetani anaamini Mungu yupo,sembuse wewe!Uwepo wangu hauna uhusiano wowote ule na uwepo wa huyo Mungu.
Ni wewe tu unafosi na kulazimisha uwepo wangu uwe umetokana na huyo Mungu.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, Yeye kama yeye.
Shankupe ni baba na mama yako waliozaa punguani na tahira kama wewe.Usipoteze muda wako kubishana na shankupe hilo. Mashankupe yako mengi humu, hilo ndo kiongoz lao.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani.Hilo ndio jibu hata Ukatae,Hata shetani anaamini Mungu yupo,sembuse wewe!
Umeshatembea nchi ngapi au hata mikoa mingapi hapa tz bwana mdogo?Makazi duni, Elimu duni, Huduma mbovu za kijamii.
Huko vijijini kuna watu hata hawawezi ku afford basic needs zao.
Halafu bado wana amini kuna utajiri wa kishetani na kichawi.
Nikikwambia nina miaka 15, utajuaje na kuthibitisha vipi?Safi kabisa. Aseme umri wake hapa, kama ana miaka zaidi ya 20 nakunya mdomoni kwake.