min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Nisujudie kitu ambacho hakipo? Jehanam pia haipo hizo ni imani tu kabla ya wakoloni kuja hiyo dhana ya shetani na jehanam haikua vichwani mwa watu na watu waliishi tu kwa imani zao tu nyingine.Sharti kuu ni ibada. Kama upo tayari kumsujudia shetani nenda kamsujudie upate utajiri wake lakini utaishia Jehanamu. Kanuni za Mungu ni kutoa Sadaka kwa kazi ya Mungu ya Injili na kufanya kazi kwa bidii na maarifa.