Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
- #241
Wewe ambaye umekuwa na unayeijua dunia na maajabu yake umeweza hata kuwa na utajiri wa kumfikia Bakhressa?Bado haujakuwa wewe, hauijui dunia na maajabu yake.
Kama unajua kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina nenda kautumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos au Billgates.