Nisujudie kitu ambacho hakipo? Jehanam pia haipo hizo ni imani tu kabla ya wakoloni kuja hiyo dhana ya shetani na jehanam haikua vichwani mwa watu na watu waliishi tu kwa imani zao tu nyingine.Sharti kuu ni ibada. Kama upo tayari kumsujudia shetani nenda kamsujudie upate utajiri wake lakini utaishia Jehanamu. Kanuni za Mungu ni kutoa Sadaka kwa kazi ya Mungu ya Injili na kufanya kazi kwa bidii na maarifa.
Kujua na uthibitisho ndio Imani!Imani ni kutokuwa na uhakika, ushahidi wala uthibitisho wa jambo au kitu fulani.
Mimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yeyote ile.
Sihitaji kuamini Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Usije hapa kuongelea vitu ambavyo huna uthibitisho navyo.Bado unasafari ndefu sana.
NINAISHIA HAPA.
Hapana.Kujua na uthibitisho ndio Imani!
Mimi situkani mtu wala kumdhihaki mtu, Akija kwa hoja.Nawatakia kila la heri mnaoweza kuendeleza mjadala na mtu anayetukana, kejeli na kudhihaki wengine
Nipe mfano wa tajiri aliyetajirika kupitia hoja namba 2 hapo juu kwa hapa tz au nje ya tz kwa ushahidiMtoa post wewe ni mjinga sana. Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi +Bahati+bidii yakazi +Maarifa
2. Utajiri wa nguvu za giza+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
Kwahiyo kupitia hiyo tiba ya mama na hayo masharti ndio ukahitimisha kuwa kuna utajiri wa nguvu za gizaSiwezi kukupinga mr. Maana hata akija mtu akasema ametajirika kwa kutoa kafara bado huwezi kuamini. Upande wangu nmejaribu kutoa mwanga wa uhalisia wa nguvu zisizoonekana zinavyotenda kazi Sasa Ni juu yako kuunganisha dot au kubaki na imani yako. Japo kwa ninavyoelewa mama angetibu kwa mitishamba peke yake bila nguvu flani kusingekuwa na masharti ya usigeuke nyuma, Wala usiongee na mtu. Ni hayo tu.
Huu ubishi wako kwamba hakuna Mungu, Ndio ushetani wenyewe!Kwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani.
Tunaposema Roho kwani inaonekanaKwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani.
Huyo shetani wala hayupo na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.Huu ubishi wako kwamba hakuna Mungu, Ndio ushetani wenyewe!
Roho ni dhana ya kufikirika tu haipo katika uhalisia.Tunaposema Roho kwani inaonekana?
Shetani hayupo.Hata shetani huwa hapotezi muda na watu wazembe, wavivu na wasioweza kutunza Siri.
Kwa ground wapi?Mnataka uthibitisho gani
Wakati hamtaki kuingia kwa ground mka pate uthibitisho?
Mimi siamini kwenye kuamini.Inawezekaje utake watu waamini experience yako na hutaki kuamini yao,
Kama huo uchawi wako una nguvu kweli, Nilogee huko huko.We jamaa ukija huku gongo la mboto tunakuloga wewe