Mkuu kuhusu tajiri mkubwa kama Bakhresa na akina dangote kilichowabeba ni gvt katika harakati zao za mwanzo za utafutaji na sio uchawiWee unaamini kuwa alikua anashona viatu..?
Mkuu mi kuna ndugu yangu Japo sasa hv ni mzee..Mkuu kuhusu tajiri mkubwa kama Bakhresa na akina dangote kilichowabeba ni gvt katika harakati zao za mwanzo za utafutaji na sio uchawi
Naamini kapitia hiyo stage ya kushona viatu kwani maisha ya binadam yanaanzia mbali japo kuna code nyingi kazificha ila sio za kichawi kama mnavozusha walokole
Unathibitisha vipi ni kulogwa na si maarifa ambayo wewe huyaelewi?Sasa mkuu...
Ujawahi kutana na kesi mtu kalogwa au hiyo ni nini..
Hata uchawi nao una limit yake unaposema kurusha missile hizo sijui kuwaloga wazungu, ukute hyo stage ni kubwa sana ya hali ya juu..
Ila huku mtaani mtaani mbona watu wanalogwa kaka
Mnabishana na mgonjwa wa akili. Fikiria kuanzia asubuhi hadi muda huu, hata kunya hajanya anafanya kazi sa ngapi..Ila Wewe dogo ni Bogus sana...Kakwambia nenda kwake umuone huyo nyoka ww unaanza kusema unamtaka si ukamtafute wako.
Kumbe wewe n Mwehu unajaza Server tu apa.
Hebu mtaje mmoja tu unaemjua na sio kuhisi yani iwe unajua kuwa ana huo utajiri wa kichawi na anajuta
Hivi nyie Waafrika mtatoka lini usingizini
Ngoja nikuambie kituMkuu mi kuna ndugu yangu Japo sasa hv ni mzee..
Ujue kaanza hizo biashara kitambo za shoeshine ila mpaka leo show kali...
Vipi msimamo wako kwa huyu babu yangu
Mkuu nasikitika unapoteza muda na mgonjwa wa akili.Kijana kama utaweza kununua kitabu kinaitwa 'Illuminati Testaments' kutoka Amazon unaweza kuanza kupata mwanga kwa nini unabishana na wakubwa zako. Hii itaanza kukupa mwanga kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi na kisiasa yanavyoendeshwa duniani. Its full occult
Hapa hatuzungumzii imani utajiri sio imani ni uhalisiaWewe unaamini nini?
wanaleta story za vitu ambavyo havionekani mzeeMpaka sasa hakuna mtu aliyekuja na uthibitisho wa tajiri mkubwa duniani aliyetajirika kwa uchawi na ushirikina.
Wanakuja tu kutema nyongo zao hapa.
Ya utafutaji wa kihalisia ndiyo chimbuko la kupata, ila kwenye kuendeleza ndiyo hutokea changamoto... kama hujakutana nazo mshukuru Mungu kwa kukulinda...ila wapo wanaoamua kufanya shirki ili kujikwamua kwenye vikwazo hivyo...na matokeo huonekana japo kuna maumivu ndani yake, kwani shetani hatokuacha salama...Hapa hatuzungumzii imani utajiri sio imani ni uhalisia
Tunataka utaje tajiri aliologa akapata utajiri kupitia misukule na sio haso za biashara kama za akina bakhresa na dangote za kufungua maviwanda ya cement na ngano na huduma kibao tunazotumia
Cha kushangaza bado unafuatilia huu uzi kwa karibu sana.Mkuu nasikitika unapoteza muda na mgonjwa wa akili.
Kama hayaonekani kwa macho, wewe umejuaje kama yapo??Unachokosa wewe ni Elimu tu ya Mambo hayo.
Dunia ina mambo mengi yasiyo Onekana kwa Macho
Shida hizo unazosema ni imani zenu juu ya matajiri hamna ushahidiYa utafutaji wa kihalisia ndiyo chimbuko la kupata, ila kwenye kuendeleza ndiyo hutokea changamoto... kama hujakutana nazo mshukuru Mungu kwa kukulinda...ila wapo wanaoamua kufanya shirki ili kujikwamua kwenye vikwazo hivyo...na matokeo huonekana japo kuna maumivu ndani yake, kwani shetani hatokuacha salama...
Wapo.... sihitaji kuwataja maana hutoamini na mafanikio bila ushirikina yapo... Nikutakie harakati njema katika njia sahihi na Mungu muumba mbingu na nchi akufanikishe katika yote mema utendayo.Shida hizo unazosema ni imani zenu juu ya matajiri hamna ushahidi
Mkishaona fulani kapiga hatua mnaanza sema sijui ana misukule sijui anatoa kafara n.k
Iman za dini pia zinachangia, wahubiri wanakuaminisha kuna sijui vifungo na uchawi ndio maana hufanikiwi huku yeye anatumia sadaka yako kujiwekeza
Mkuu hayo yote uliosema ni ubatili hakuna ushahidi juu ya hiyo shirk kutumiaka mtu kutajirika kama ipo nipe mfano nipo hapa nasubiri mfano
Ukiona code hata mwenye D 2 anashindwa kuifungua hiyo code haipo ni uzushiWapo.... sihitaji kuwataja maana hutoamini na mafanikio bila ushirikina yapo... Nikutakie harakati njema katika njia sahihi na Mungu muumba mbingu na nchi akufanikishe katika yote mema utendayo.
Uchawi upo...Unathibitisha vipi ni kulogwa na si maarifa ambayo wewe huyaelewi?
Kwani wale jamaa wa mazingaombwe wanatumia maarifa gani kukufanya uone kiini macho?
Je na wale jamaa wa mazingaombwe utawaita wachawi?
Nyie wakuu.. mnakataa uchawi hakuna seriously wakati unayosema hapa ni uchawi wenyewe...Ngoja nikuambie kitu
Wewe unaweza ukawa umezaliwa bush ukapiga kazi ya ukulima
Ukapata connection ukaja dar ukaanza na haso za umachinga
Ukapata dili la kwenda china kujumua mizigo hatimae ukatoka kimaisha
Hivyo ukija kutuambia kuwa ulianza kama mkulima tutakubishia? Wakati ipo kwenye cv yako
Kama uchawi upo nenda kautumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa hapa nchini kama Mo Dewji, GSM, Bakhressa.Uchawi upo...
Mganga unajua ishu ya ramli wewe..?
Kwani kupata connection kwenda china ni hadi uwe mchawi?Nyie wakuu.. mnakataa uchawi hakuna seriously wakati unayosema hapa ni uchawi wenyewe...
Wee unapata pata connection mara China mara where..
Mbona wengine hawapati