Watakwambia ukacheki ndinga kali zinazopaki pale kawe kesho kwenye misa ya kwanzaKwanza hao walokole ndio maskini choka mbaya kutwa kucha kushinda makanisani kama wehu wakiimba na kupayuka kama mbayuwayu
"Napokea, napokea, napokea"
Kumbe hakuna wanacho pokea zaidi ya umaskini, ukapuku na ufukara.
Unahangaika sana kuelezea na kuongelea viumbe vya kufikirika tu.Mungu yupo
Shetani yupo
Thibitisha uchawi na ushirikina upo na si kufosi imani zako uchwara za kufikirika zisizo na uthibitisho wowote ule.Uchawi upo
Ushirikina upo
Utajiri upo kwa wanao jishughulisha na kujibidiisha kwa akili na maarifa.Utajiri upo
Umaskini upo
Nenda kautumie huo utajiri wa nguvu za giza angalau uanzishe hata kiwanda kwa kutumia nguvu hizo za giza.Kuna utajiri wa nguvu za Giza,
Utajiri wa Nguvu za Mwanga na utajiri usiohusisha nguvu zote zaidi ya juhudi za binadamu pekee! Sasa Bongo wengi wanautajiri wa juhudi za kibinadamu, wanafuata wa nguvu za giza kisha nguvu za mwanga ambao ni wachache.
Nenda kautumie huo utajiri wa nguvu za giza angalau uanzishe hata kiwanda kwa kutumia nguvu hizo za giza.
Kama unajua kuna utajiri wa nguvu za giza nenda kautumie kwa juhudi zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa duniani.
Au angalau basi uingie kwenye orodha ya matajiri wakubwa duniani Forbes.
Matajiri wakubwa wote kina Elon musk, Jeff Bezos, Billgates, Warren Buffett, Aliko Dangote, Bakhressa Mo Dewji na matajiri wengine wakubwa.Ulivyoandika ni sawa ibadili iwe hivi tumia akili nguvu , na maarifa yako yote uwe tajiri kuwazidi wote uliowataja.? Ili uje tena uazishe thread hapa
Kafuate hizo kanuni.Kuna kanuni zake!, There is a price to pay!
Kafuate hizo kanuni.
Kalipe hizo price.
Niambie Elon musk analipa price gani kuwa tajiri namba moja duniani?
Niambie Elon musk alitoa kafara gani na ngapi kuwa tajiri namba moja duniani?
Niambie Elon musk alifuata kanuni gani za kishetani kuwa tajiri namba moja duniani?
Au ni wewe maskini tu unajifariji na illusion zako tu!!!
Pale hakuna ndinga kali.Watakwambia ukacheki ndinga kali zinazopaki pale kawe kesho kwenye misa ya kwanza
Wewe ulijuaje na unathibitishaje utajiri wa Elon musk upo kwenye kundi fulani?Soma comment yangu upya utaona Elon kaangukia kwenye utajiri wa aina gani.
Alafu usiniambie nikazifuate hizo kanuni sababu hujui utajiri wangu upo kwenye kundi gani kati ya matatu.
Matajiri wakubwa wote kina Elon musk, Jeff Bezos, Billgates, Warren Buffett, Aliko Dangote, Bakhressa Mo Dewji na matajiri wengine wakubwa.
Wamefanikiwa na kupata utajiri wao kwa akili, nguvu, na maarifa ya kibinadamu. Sio kichawi, kishetani, kishirikina au kimiujiza.
Wewe sasa unayedai kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina nenda kautumie kwa juhudi zako zote na kwa nguvu zako zote Uwazidi hawa matajiri wakubwa.
Ndipo itafahamika kweli kuna utajiri wa kishetani.
Unless otherwise, utajiri wa kishetani ni habari za waafrika maskini choka mbaya, makapuku, pangu pakavu tia mchuzi.
Mkuu naungana na wewe utajiri wa kichawi haupo na hao wanaosema wenyewe wanahadithiana tu hadithi njoo uwongo njoo utam kolea hakuna mwenye uthibitishoPale hakuna ndinga kali.
Huwezi kukuta Mercedes Maybach au Rolls-Royce Boat tail imepaki pale.
Wewe ndo unajiaminisha kuwa utajiri wao unahusisha nguvu zao pekee, sasa mimi sijui ila kubali nguvu za giza zipo na zinasaidia kupata utajiri vile vile.Wewe ulijuaje na unathibitishaje utajiri wa Elon musk upo kwenye kundi fulani?
Kalete huo utafiti na uthibitisho hapa.
Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi.
Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote uwe tajiri mkubwa nchini Tanzania, Afrika na duniani?
Kwa nini ujihangaishe kufanya kazi na kuchoka ilhali unajua kuna utajiri wa kishetani?
Kamtumie huyo shetani akutajirishe kama ni rahisi hivyo!!
Katoe kafara za kutosha ikiwezekana hata ukoo wako wote tuone kama biashara yako itakuwa kubwa au utaweza hata kufikia utajiri wa Bakhressa.
Kama kweli kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa Afrika kama Aliko Dangote, Bakhressa, Mo Dewji na matajiri wengine wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos?
Kama kweli unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini hujautumia huo uchawi, ushirikina, uganga angalau ufike hata level za utajiri wa Mo Dewji?
Kama unaamini kuna Shetani akitolewa kafara anatoa mali au atakupa mali za kukutajirisha, Katoe kafara wazazi wako au wanao wote tuone kama hata utafika level za utajiri wa Dangote.
Au kama unaamini kuna utajiri wa ndagu, uganga, ulozi n.k
Mwambie huyo mtoa ndagu au mganga, Akupe utajiri angalau umfikie au umzidi Bakhressa kama ana huo uwezo.
Au mwambie huyo mganga akuwezeshe umiliki private jet ✈️, Kiwanda kikubwa cha uzalishaji, Magari makali ya kifahari kama Rolls-Royce Boat tail, Mercedes Maybach, Buggati, Lamborghini, Cadillac escalade au akishindwa sana angalau akupe Range rover sport kwa uganga wake tu.
Waafrika wengi hasa watanzania wana amini kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina lakini bado maisha yao ni ya kimaskini, kikapuku, kifukara pangu pakavu tia mchuzi.
Kama unaamini au unajua kuna Shetani anatoa utajiri, Kamtumie kwa nguvu zako zote akutajirishe na uwe tajiri kweli, Angalau ufike level za utajiri wa kina Dangote.
Kisha ndio uanze kusema kwamba kuna utajiri wa kishetani.
Habari za utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina, Husikika tu kwa waafrika maskini choka mbaya, wajinga, wavivu, makapuku, makabwela na mafukara ambao wanashinda vijiweni na vilabuni waki danganyana na kupeana matumaini uchwara ya utajiri wa kufikirika.
Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani kinacho toa utajiri. Utajiri na pesa hutoka kwa binadamu. Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani chenye pesa.
Pesa ni za binadamu, Si za Mungu wala Shetani.
Hakuna Mungu, Shetani, Jini, Pepo au nguvu yeyote ile ya kimiujiza inayotoa Utajiri.
Pesa, Mali na utajiri hupatikana kwa nguvu za kibinadamu na wanadamu.
Ni wajanja wachache tu huwalaghai na kuwadanganya watu wengine kwamba kuna shetani anatoa utajiri ili kuwahadaa na kuwapumbaza watu wajinga wasiotaka kuhustle wenyewe wakitegemea mafanikio ya kuletewa.
Ndio maana unakuta wanawekewa masharti makali ya kupata pesa hizo ambao wao hudhani ndio masharti ya kishetani ya huyo shetani, Kumbe ni masharti ya binadamu wajanja tu.
The supernatural power is You, Yourself.
Hakuna Mungu wala Shetani anayetoa
Wewe kwa unavyoamini umekuwa tajiri wa ngapi duniani?utajiri, pesa au mali.
I'm out.
Unathibitisha vipi kwamba Utajiri wao sio clean?Inaonekana wewe unaamini Hao watu utajiri wao ni clean kwa kuwaona kwenye tv na mitandaoni. Siri ya mtu ni kichaka!
Sina imani mimi.Wewe kwa unavyoamini umekuwa tajiri wa ngapi duniani?
Unathibitisha vipi kwamba Utajiri wao sio clean?
Kama utajiri wao sio clean, Ni utajiri wa nini?
Watu wana makampuni makubwa ya Tesla, Space X, Twitter. Halafu unataka kusema utajiri wao sio clean, kwamba ni wa kishetani sio?
Kama ni utajiri wa kishetani, Eleza na thibitisha Elon musk katoa kafara ngapi hadi akawa tajiri namba moja duniani?
Na je hao matajiri wengine wakubwa aliowazidi na kuwapita utajiri, Je wao hawatoi kafara hadi wanazidiwa na Elon musk?