Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Mkuu naungana na wewe utajiri wa kichawi haupo na hao wanaosema wenyewe wanahadithiana tu hadithi njoo uwongo njoo utam kolea hakuna mwenye uthibitisho

Bongo unahaso ukitoboa ukaweza nunua bus hata mbili za kuanzia unaambiwa umetumia ndumba nyambaf!
Watanzania maskini wanapenda kufarijiana kwa hadithi za kusadikika na kufikirika tu.
 
Wewe ndo unajiaminisha kuwa utajiri wao unahusisha nguvu zao pekee, sasa mimi sijui ila kubali nguvu za giza zipo na zinasaidia kupata utajiri vile vile.
Kama hujui, utasemaje nikubali kwamba nguvu za giza zipo?

Kama nguvu za giza zipo, Na unajua zipo nenda kazitumie zikupe utajiri.

Acha kazi, ajira au biashara yako nenda katumie hizo nguvu za giza zikutajirishe kama ni rahisi hivyo!!
Usichokiamini wewe haimaanishi kwamba hakipo hapa duniani, Kipo!
Na hayo mambo ni siri so usitegemee kuyasikia hovyo hovyo.
Wewe si tayari unaya amini, Mbona sasa huyatumii?

Wewe unadai kuna nguvu za giza, Nenda kazitumie kama maisha ni rahisi hivyo unavyo fikiri!!!
 
Kama hujui, utasemaje nikubali kwamba nguvu za giza zipo?

Kama nguvu za giza zipo, Na unajua zipo nenda kazitumie zikupe utajiri.

Acha kazi, ajira au biashara yako nenda katumie hizo nguvu za giza zikutajirishe kama ni rahisi hivyo!!

Wewe si tayari unaya amini, Mbona sasa huyatumii?

Wewe unadai kuna nguvu za giza, Nenda kazitumie kama maisha ni rahisi hivyo unavyo fikiri!!!

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Endelea kuamini unachokiamini mkuu.
 
Sina imani mimi.

Mimi najua utajiri wangu ni wa kawaida bado sijafika hata level za kina Dangote.

Lakini siamini kwamba kuna utajiri wa kishetani.
Haya maisha tuyaonayo kwa macho ya kawaida ni matokeo ya ulimwengu wa kiroho....hua unaota ndoto? Inakuwaje unajiona katika ndoto upo sehemu fulani tofauti na ulipo? Ni mfano wa ulimwengu wa kiroho ....mtafute mganga(kichawi)/mchawi muombe sana akuthibitishie ulimwengu wa kichawi ...namna wanavyoruka wakiiacha miili yao ndani na hatimaye kuirudia tena. Ni kweli huyajui haya....?
 
We takataka kama kawaida yako janaume lenye gubu tanzania kama shambenga la temeke, umeamua sasa badala ya kusutana na watu umeamua kuja kuanzisha thread bado umekalusha mapumbu kwa shem hapo unapingapinga kila kitu.. ila nakushukuru sana shambenga langu mana hapa hapa konekshen zitapatikana. Kua kichaa inasaidia wakat mwingine
 
Rudia kusoma maelezo yangu kwa makini. Sijasema hao watu utajiri wao ni clean au sio clean, wewe kubali nguvu za giza zipo na zinasaidia sana tu kwenye utajiri kama zilivyo nguvu nyengine bas.
Thibitisha kwamba nguvu za giza zipo.

Acha kubwabwaja bwabwaja hapa.
Ni sawa na kusema hapa duniani hakuna nchi yenye kitu fulani wakati hujatoka hata nje ya africa mashariki ujionee watu wanaishije unaishia kusoma mitandaoni na kucomment ubishi tu.
Ulitembelea nchi gani ukaona watu wametajirika kwa nguvu za giza?

Nipe hata mfano moja wa nchi uliyo tembelea barani Ulaya au Amerika, iliyo tajirika kwa nguvu za giza.
 
We takataka kama kawaida yako janaume lenye gubu tanzania kama shambenga la temeke, umeamua sasa badala ya kusutana na watu umeamua kuja kuanzisha thread bado umekalusha mapumbu kwa shem hapo unapingapinga kila kitu.. ila nakushukuru sana shambenga langu mana hapa hapa konekshen zitapatikana. Kua kichaa inasaidia wakat mwingine
Don't come here to advertise your stupidity you fool.

Hujui hata kuandika. Rudi chekechea kwanza kajifunze somo la mwandiko ndio uweze kujenga hoja.

Damn fool, idiot.
 
Mtu anakaa kwa shemeji yake anasubiria tu kuletewa anaelewa ama ataelewa nini huyo shambenga.
Huna hoja zaidi ya Viroja.

Na si kwamba siwezi matusi.

Nitayatumia vilevile kwa matahira kama wewe ambao baba zenu afadhali wange wamwaga chooni, kuliko kuzaa matahira kama wewe.
 
Umaskin unamsumbua, mtu anamtegemea mume wa dada amlishe , ana jua nini huyo pimbi, hio kujenga hoja hawez anaweza kusutana kama khadija kopa
Hunijui, sikujui.

Halafu unasema namtegemea mume wa dada yangu anilishe, Hata familia yangu huijui unafosi kuijua kwa speculations zako uchwara za kipumbavu.

Halafu unajiona mjenga hoja, kumbe mleta Viroja.

Punguani wewe, You need mental rehabilitation therapy. Baba yako alizaa tahira afadhali angemwaga shahawa zake chooni kuliko kuzaa tahira kama wewe.

Nincompoop.
 
Rafiki utajiri wa ibilisi siyo mwepesi hivyo kama ulivyoandika, kuna mengi ndani yake na ni maumivu na majuto...so kupanda kwa kasi inawezekana ila na maumivu na majuto ni makubwa....wengi wana utajiri huo ila hawana furaha nao, wanajuta kwa nini waliingia... kutoka wanaumia mawazo na akili, wakikumbuka wamesha fanya ya hovyo mengi na wataanza vipi kutafuta kutoka sifuri....ni bora hauamini itakusaidia usiingie kwenye majuto.
 
Back
Top Bottom