Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
- #61
Watanzania maskini wanapenda kufarijiana kwa hadithi za kusadikika na kufikirika tu.Mkuu naungana na wewe utajiri wa kichawi haupo na hao wanaosema wenyewe wanahadithiana tu hadithi njoo uwongo njoo utam kolea hakuna mwenye uthibitisho
Bongo unahaso ukitoboa ukaweza nunua bus hata mbili za kuanzia unaambiwa umetumia ndumba nyambaf!