Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Basi kama kuna mtu Huwa namuona ni mpumbavu ni yule anayesema hakuna Mungu. Kuna vitu vonatia hasira sana.
Wewe pamoja na huyo Mungu wako wote ni Wapumbavu.
Nimeumia sana kwa ajili yako. Kwa hiyo na wewe unajiweka kwenye kundi la wanasayansi ambao hawaamini kuwa kuna Mungu.
Kwa nini uhitaji kuamini Mungu yupo Badala ya kujua kwa uhakika kabisa kwamba Mungu yupo?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani ajidhihirishe mwenyewe, yeye kama yeye kwamba yupo kama ana huo uwezo.

Anacho jifichia huko alipo kama mwali ni nini?
Hao wanasayansi deep down wanaamini Mungu yupo sema wameshindwa kuthibitisha kisayansi ndio maana wanakana.
Na wewe Thibitisha uwepo wa huyo Mungu na si imani yako uchwara ya kufikirika tu
Aliyekulisha huo upuuzi wa atheist amekosea sana.
Aliyekulisha huo upuuzi wa kidini na kiimani, Amekupumbaza sana.
 
Si mtalaam katika kuandika ila tuvumiliane mada imekuja wakti muafa wa jira

Kwa africa kuwa ujaone
Unafikiri humu kuna mtoto ambaye hajakua?

Au unafikiri wewe tu ndio umekua kuliko wengine?

Kama una amini kuna utajiri wa kishetani, Kwa nini huku utumia utajirike?
 
Mungu hakosei
Leo nimewasha kidogo tuvumiliane

Mwenyemungu anakupa nafsi nakujaria na body


Haijarishi mzuri mbaya
 
Mungu hakosei
Mungu huyo kama yupo, Basi alikosea sana kuumba dunia yenye uovu na mabaya ilhali uwezo wa kuumba dunia isiyo na uovu wala mabaya alikuwa nao.

Mungu huyo alikosea sana kuumba binadamu wenye uwezo wa kutenda mabaya, ilhali angeweza kuumba binadamu wasio weza kufanya mabaya.

Mpaka hapa inadhihirisha wazi kwamba Mungu huyo kama yupo, amesha kosea sana.

Na hafai kuwa Mungu.
Leo nimewasha kidogo tuvumiliane

Mwenyemungu anakupa nafsi nakujaria na body


Haijarishi mzuri mbaya
Hakuna Mungu anayejalia kitu chochote kile.

Mungu huyo mmemtunga vichwani mwenu tu, Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.
 
Mungu hakosei
Leo nimewasha kidogo tuvumiliane

Mwenyemungu anakupa nafsi nakujaria na body


Haijarishi mzuri mbaya
Short cut uchaaei upo sana
Code gani acha unafiki
Awali ya yote mwamba muumba na mmiliki vyote vilivyopo dunia nisamehe kwa kukushirikisha
Umekwama we siku ukikoswa na kuti la mnazi au ajari yoyote ndio utajua mungu yupo
 
Umekwama we siku ukikoswa na kuti la mnazi au ajari yoyote ndio utajua mungu yupo
Huyo Mungu kwa nini asizuie hizo ajali zisikutokee kabisa kwenye maisha yako yote ya hapa duniani?

Kwa nini huyo Mungu ana acha ajali zikutokee kisha ndio alete unafiki wake wa kujifanya kutaka kukuokoa?

Kwani huyo Mungu, Alikuwa hajui kwamba hizo ajali zitakuja kukutokea, azidhibiti na kuzizuia mapema kabisa zisije kukutokea?
 
Mleta uzi punguza hasira. Kila mtu ana stress sema tunakausha kiume. Kuna baadhi ya mambo hapa duniani bora tu usiyajue. Mleta mada furahia tu maisha yako unayoishi kwa sababu kuna mambo hujawa exposed kabisa ndo maana unaandika kama mtoto mchanga na kutaka watu wote wakubaliane nawe. Tulia kijana.
 
Unajua wewe kijana ni mjinga sana sijapata kuona ?

Watu hayo mambo hawayafanyia sababu wanajua hatima zake na wanamuogopa Mola aliye juu.

Hao wanaoingia humo ni WAJINGA na wanaamua tu kujitoa ufahamu, ila mtu mwenye akili anajizuia na mambo hayo.
 
Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote uwe tajiri mkubwa nchini Tanzania, Afrika na duniani?

Sababu Ushirikina ni jambo baya na mafikio yake ni motoni. Kwanini nifanye jambo ambalo litaniangamiza na kuwa na mwisho mbaya ?

Acha wafanye hao wachache ambao hawajui hatima zao isipokuwa maisha ya Dunia na ufahari.
 
Kwa nini ujihangaishe kufanya kazi na kuchoka ilhali unajua kuna utajiri wa kishetani?
Sababu vya halali vina baraka na vyenye kudumu. Hapa akili kubwa tu ndio itaelewa.

Ukiangalia Dunia tunapita, kwanini tusihangaike na vya halali japo vichache na vyenye baraka?

Kingine una utoto mwingi na maswali yako ya kitoto sana.
 
Hizi imani za kuamini uchawi ni za kijinga sana , karibu robo tatu ya wachangiaji humu ni kejeli na matusi kisa imani zao za kijinga zimeguswa.
 
Hizi imani za kuamini uchawi ni za kijinga sana , karibu robo tatu ya wachangiaji humu ni kejeli na matusi kisa imani zao za kijinga zimeguswa.

Shida machache mnayajua kuliko mengi msiyo yajua. Uchawi upo na ni hakika.

Mjitahidi msiwe mnajadili mambo ambayo hamna elimu nayo. Sababu mnaonekana vituko mno.
 

Anafanya anavyotaka, na anaruhusu ajali zitokee ndio maana zinatokea.
 
Thibitisha uwepo wake ili tujue sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…