Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
649
Reaction score
975
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!?

Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.

Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
 
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??

Pombe si chai,ni nani mwenye majeraha yasiyo na sababu?,Ni nani mwenye yowe,ni nani mwenye macho mekundu,ni wakeshao!wakisema ki wapi kileo!
 
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??

Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.

Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Hujui maandiko wewe, kinywaj cha kwanza kutengenezwa na Mungu ni divai.
Kwenye harusi ya kana Yesu alitengeneza divai watu wakanywa wakaisifia sana.
 
Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Unaposema pombe ni ujinga unamaanisha wanywaji ni wajinga, wauzaji ni wajinga, serikali iliyoruhusu ni wajinga pia.
Kuna watu wengi sana wanaendesha maisha kupitia hizo pombe.
Me sio mnywaji lakini acha kuingilia starehe za watu kama hujawasaidia kutafuta hela. Acha kabisa!
Unaingilia uhuru wao, unaingilia pesa zao, unaingilia haki zao za msingi za kisheria na kibinadamu.
 
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??

Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.

Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Kuna ujinga zaidi ya kushabikia ccm na kwenda kanisa na misikitini kwa kizazi chetu
 
Back
Top Bottom