Ulishawahi kunywa local beer hizi zikiwa na kaubaridi kwenye jua kali?
Castle lite,
Serengeti lite,
Yaani unapiga chupa tano halafu husikii dalili ya kulewa unaendelea na mitikasi zako.
Au unawaalika Wana mnapiga local hizi
Safari lager,
Castle lager,
Mkiishiwa pesa mnapiga hizi
Eagle lager,
Balimi lager,
Au mkitaka mlewe haraka
Mnatumia spirits hizi
Konyagi kubwa,
K vant kubwa,
John walker,
Jack Daniel
Halafu castle lite kreti mbili mezani kwaajili ya kuzimulia,huku jikoni mbuzi,au mdudu anaandaliwa,Wana mko mkitoka hapo unajibanza sehemu unapiga cha arusha then unarudi mezani unajipoza na sigara hizi Embassy au Sports au SM
Mademu kama wote halafu ATM wala haiko mbali ,achilia mbali kwenye simu na Kwa dashboard ya gari au chini ya siti
Mkuu kama kimya hujui utamu wa pombe
Nashukuru Mungu kaniwezesha kuacha kabisa kitu hiki.
Tahadhari,
Pombe ni kwaajili ya wenye hela kama unajitafuta Bora ubeti tu
Milioni mbili kukatika ndani ya masaa mawili ni kama uji Kwa mgonjwa