Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sigara, bangi, cocaine, heroin, skanka unadhani zina utamu gani??Kwako pombe Ina utamu? Au unakunywa kwa minajili ya sifa?
Pombe ina vibe, inachangamsha akili, inapeleka damu mbio. Na kila mtu ana matokeo yake akinywa, anajua anajiskia vipi.
Pombe sio utamu ni kilevi, pombe haipimwi kwa utamu kama mirinda nyeusi bali kilevi kilichomo, sawa paroko!?