Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??

Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.

Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Sinywi pombe ila simzuii mtu kunywa. Pombe ni kinywaji kama vinywaji vingine.
 
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??

Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.

Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Sasa nawewe umeamka na hangover ya kuingilia maisha ya watu stop that habit
 
Ulishawahi kunywa local beer hizi zikiwa na kaubaridi kwenye jua kali?

Castle lite,
Serengeti lite,

Yaani unapiga chupa tano halafu husikii dalili ya kulewa unaendelea na mitikasi zako.

Au unawaalika Wana mnapiga local hizi

Safari lager,
Castle lager,

Mkiishiwa pesa mnapiga hizi

Eagle lager,
Balimi lager,

Au mkitaka mlewe haraka
Mnatumia spirits hizi

Konyagi kubwa,
K vant kubwa,
John walker,
Jack Daniel

Halafu castle lite kreti mbili mezani kwaajili ya kuzimulia,huku jikoni mbuzi,au mdudu anaandaliwa,Wana mko mkitoka hapo unajibanza sehemu unapiga cha arusha then unarudi mezani unajipoza na sigara hizi Embassy au Sports au SM

Mademu kama wote halafu ATM wala haiko mbali ,achilia mbali kwenye simu na Kwa dashboard ya gari au chini ya siti

Mkuu kama kimya hujui utamu wa pombe

Nashukuru Mungu kaniwezesha kuacha kabisa kitu hiki.

Tahadhari,
Pombe ni kwaajili ya wenye hela kama unajitafuta Bora ubeti tu

Milioni mbili kukatika ndani ya masaa mawili ni kama uji Kwa mgonjwa
 
Back
Top Bottom