Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Pombe si chai,ni nani mwenye majeraha yasiyo na sababu?,Ni nani mwenye yowe,ni nani mwenye macho mekundu,ni wakeshao!wakisema ki wapi kileo!Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.
Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Hujui maandiko wewe, kinywaj cha kwanza kutengenezwa na Mungu ni divai.Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.
Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
🤣🤣🤣🤣Nyuzi kama hizi kwa kipindi hiki cha mwezi wa mnyaazi sio ngeni, labda kwa wageni wa jiji.
😄😄😄😄😄😃😃🤣🤣🤣🤣
Kitu chochote kitamu nwanzo huwa kichungu. Mwanamke ànapoanza ni maumivu baada ya hapo akiikosa ni shida.Nahisi huwa ni addiction tu
Maana, Nimewahi kusikia pombe hasa beer huwa ni chungu mtu anapoianza kunywa kwa mara ya kwanza
Unaposema pombe ni ujinga unamaanisha wanywaji ni wajinga, wauzaji ni wajinga, serikali iliyoruhusu ni wajinga pia.Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Japo nilishaacha ila hazijawahi kuwa mbaya🥴😄😄😄😄😄😃😃
Kuna ujinga zaidi ya kushabikia ccm na kwenda kanisa na misikitini kwa kizazi chetuHivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!??
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa bia ni ujanja.
Ushauri wangu hasa kwa Vijana pombe ni ujinga na haina faida yoyote.
Hahaha............kwamba mwanzoni atakuwa anaumia, baada ya hapo anakuwa anaililia akiikosa 🙌Kitu chochote kitamu nwanzo huwa kichungu. Mwanamke ànapoanza ni maumivu baada ya hapo akiikosa ni shida.
Privacy ya mtu wakati anakunywa hadharani?Mimi sinywi ila naheshimu privacy ya mtu, Kumbuka infringement of privacy is a crime offense.