Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Mungu amuhifadhi sehemu anapona panafaa,lakini nishujaa pekee kwangu.
 
Sasa anatokea mvuta bangi na mlevi mmoja ,anajiita Jenerali Ulimwengu Kila siku anakesha mitqndaoni kumtukana JPM.Ukimuuliza huyu Cha pombe Ulimwengu ,alishawahi kufanya nn Cha maana hapa Tanzania hana Cha maana alichowahi kufanya.Anafikiri na sisi ni walevi Kama yeye mzee mpumbavu huyo.
 
Anayesema hakuna alichofanya ni muongo wa Kiwango cha lami!
Kuna haya mengine kwa nini hutaki kuyataja?!
1. Utekaji wa watu
2. Mauaji ya watu
3. Kupiga watu risasi
4. Kutesa watu
5. Unyanyasaji wa watumishi
6. Kukwapua pesa za watu
7. Kubambikia watu kesi
8. Kuharibu diplomasia
9. Kisigina katiba
10. Kisigina demokrasia
11. Kuvuruga utawala bora
12. Kuvuruga biashara
13. Kudidimiza kilimo
14. Kuharibu uchumi
15. Kupora hazina
16. ONGEZEA MENGINE UNAOGOPA NINI WEWE IBILISI![emoji91][emoji91][emoji91][emoji240][emoji240][emoji240]
 
Ongeza nyingine jomba ya Kwenda uchumi wa Kati miaka mitano kabla ya malengo
 
17..kiboko ya mafisadi na wahujum uchumi
18. Alinunua midege zaidi ya kumi na mbili
19. Aliyakunja majizi ya madini na kufuta mikataba ya wizi iliyokuwa inatetewa na Lissuu
20. Endeleeeni
 
KUPOTOSHA UMMA NA KUTUTUKANISHA WATANZANIA WOTE DUNIANI KWA KUPIMA CORONA KWENYE PAPAI NA MBUZI
 
Fisadi yupi vile alifikishwa mahakama yake ile aliyoiita ya mafisadi
17..kiboko ya mafisadi na wahujum uchumi
18. Alinunua midege zaidi ya kumi na mbili
19. Aliyakunja majizi ya madini na kufuta mikataba ya wizi iliyokuwa inatetewa na Lissuu
20. Endeleeeni
 
Post ya mwisho ilisemaje..lakini mnasahau Kubenea alishatamka kuwa bw Mbowe anajua Saanane alipo wakamuulize yeye....nashangaa mnasahau mapema hivi
Nyumbu hawana uwezo wa kukumbuka, la sivyo wangebadilisha njia ya kuvukia kwenda Masai mara baada ya wenzao kuliwa na mamba mwaka jana.
 

Rais Bora wa kulima watu risasi na kuharibu uchaguzi?. Rais Bora kwangu ni Nyerere na Mkapa sio huyo mpenda sifa na kitukuzwa.
 

Wengi wanaomsifu Magufuli ni wanafiki. Mimi mtu anayemwaga damu ya mwingine au kumbagua mwingine namfuta kabisa. Karma ilimuondoa huyo katili na mbaguzi.
 
Nyumbu hawana uwezo wa kukumbuka, la sivyo wangebadilisha njia ya kuvukia kwenda Masai mara baada ya wenzao kuliwa na mamba mwaka jana.

Unaiita wenzie nyumbu Halafu amwita Magufuli shujaa? Mfuasi anafuata tabia ya kiongozi wake. Ila unafiki haulipi ipo siku ukweli wa ben saanane utajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…