Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Hata Mbowe kwenye speech yake alisema Magufuli alikuwa rais mwenye maono na mchapakazi kwelikweli na kuwataka Chadema waige tabia hiyo kama kweli wanataka maendeleo.
Kamfufue uzikwe wewe.
Hata makaburu walijenga vyote kule SA lakini waliminya haki za watu , kuua . Kutesa na kuteka watu.kama magufuli tu
 
Zwazwa ni wewe, kwanza hukunielewa, nimesema JPM alikuwa na huruma hakuchukua hatua stahiki, mbali na hapo wenye vyeti fake serikalini wamebaki wengi sana wakiwemo mawaziri.

Kwanza ilipaswa wapelekwe mahakamani kujibu mashtaka, nashangaa JPM aliwaacha, mshukuruni kwa hil
Kutoelewa tu ile yadhihirisha me zwazwaa🙌🙌🙌
 
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati

kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara Meli zakisasa kule Victoria, mara upanuzi wa bandari za Dar, Tanga na Mtwara kwa maramoja, mara upanuzi wa viwanja vya ndege Songwe, Mtwara, Bukoba, JK Nyerere

Mara barabara za lami kila kona, mara serikali kuhamia Dodoma, mara ujenzi wa mji wa serikali Dodoma, mara ujenzi wa mpya ikulu Dodoma, mara nidhamu maofisini, mara kuyavutisha pumzi yamoto mafisadi na vibaraka,
mara ujenzi wa stand zakisasa Dar, Dom nk, mara kawatimua wazungu na korona ya mchongo[emoji23] mara kufumua mikataba ya kipumbàvu ya madini na bandari ya Bagamoyo khaaa, mpaka nimechoka ku type.

Kwakweli acha waendelee kuweweseka ila mzee Mwinyi Alisha maliza kuwa Magufuli kwa muda wa miaka 5 amewafunika wote, halafu mwamba hajawahi kwenda kujipendekeza huko ughaibuni. Viva JPM.
Huyu mtu hatatokea rais mwema kama magufuli mpaka yesu arudi. Yaan tulitakiwa kumlinda asipatwe na janga lolote kwa dam ja nyama namlilia nitaendelea kumlilia mpaka naenda kaburini.
Nlimwamini next to God kwa maana fupi tu ukimwondoa Mungu mtu pekee angrniamlisha nifanye jambo bila kuuliza alikuwa ni magufuli.
 
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati

kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara Meli zakisasa kule Victoria, mara upanuzi wa bandari za Dar, Tanga na Mtwara kwa maramoja, mara upanuzi wa viwanja vya ndege Songwe, Mtwara, Bukoba, JK Nyerere

Mara barabara za lami kila kona, mara serikali kuhamia Dodoma, mara ujenzi wa mji wa serikali Dodoma, mara ujenzi wa mpya ikulu Dodoma, mara nidhamu maofisini, mara kuyavutisha pumzi yamoto mafisadi na vibaraka,
mara ujenzi wa stand zakisasa Dar, Dom nk, mara kawatimua wazungu na korona ya mchongo😂 mara kufumua mikataba ya kipumbàvu ya madini na bandari ya Bagamoyo khaaa, mpaka nimechoka ku type.

Kwakweli acha waendelee kuweweseka ila mzee Mwinyi Alisha maliza kuwa Magufuli kwa muda wa miaka 5 amewafunika wote, halafu mwamba hajawahi kwenda kujipendekeza huko ughaibuni. Viva JPM.
Adolf Hitler aliifanyia mara milioni ya hayo Ujerumani lakini leo tunajua anakumbukwa kwa Nini
Hadi ndugu zake wameacha kutumia jina lake na kwa Magu mmebaki chawa uchwaraa mkiendelea kuimba na kuabudu sifa bandia
 
Wengi wanaomsifu Magufuli ni wanafiki. Mimi mtu anayemwaga damu ya mwingine au kumbagua mwingine namfuta kabisa. Karma ilimuondoa huyo katili na mbaguzi.
Wengi wenu ni wapumbavu na msio penda kuwajibika,..

Mpingaji wa Magufuli yeyote, ni lazima awe mzembe, mwizi, mpiga madili,
 
Wengi wenu ni wapumbavu na msio penda kuwajibika,..

Mpingaji wa Magufuli yeyote, ni lazima awe mzembe, mwizi, mpiga madili,
Binafsi magu amenifundiaha kuipenda sana tanzania, amenifundisha kufanya kazi kwa bidii, amenifundisha uzalendo mkubwa sana
 
Back
Top Bottom