Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Upo sahihi 6000%
NI KWELI ACHA NA TUFANYE % BILION 1
Anayesema hakuna alichofanya ni muongo wa Kiwango cha lami!
Kuna haya mengine kwa nini hutaki kuyataja?!
1. Utekaji wa watu
2. Mauaji ya watu
3. Kupiga watu risasi
4. Kutesa watu
5. Unyanyasaji wa watumishi
6. Kukwapua pesa za watu
7. Kubambikia watu kesi
8. Kuharibu diplomasia
9. Kisigina katiba
10. Kisigina demokrasia
11. Kuvuruga utawala bora
12. Kuvuruga biashara
13. Kudidimiza kilimo
14. Kuharibu uchumi
15. Kupora hazina
16. ONGEZEA MENGINE UNAOGOPA NINI WEWE IBILISI![emoji91][emoji91][emoji91][emoji240][emoji240][emoji240]
kwa nini ufanyiwe haya?
 
MPAKA SASA AWAMU YA SITA HAINA HATA MRADI MMOJA WALIO ANZISHA. WANAENDELEZA YA JPM!
 
Story za kwenye vijiwe mkikosa kazi za kufanya, ukiambiwa uelezee kwa ushahidi unachokisema hapa huna pa kuanzia zaidi ya chuki binafsi na story za kukaririshwa.
Kama Yesu kuna kitabu kinasema alikuwa na mwanamke na wakazaa mtoto siwezi kushangaa hiki unachozungumza.

Hata mie niwe raisi ni kufyekelea mbali wapumbavu na majizi machache yanayotaka waTanzania masikini wasote kisa maslahi yao binafsi.

Ukileta mchezo ni kukufyekelea mbali na kukutupa umefungwa kwenye kiroba mpaka akili ziwakae sawa, tena Magufuli alikuwa na huruma.
Kinachosikitisha zaidi katika maelezo yako umemtaja na Yesu
 
Kinachosikitisha zaidi katika maelezo yako umemtaja na Yesu
Kuna watu wanasema Yesu alioa, sasa siwezi shangaa kusikia watu wanasema JPM alihonga, JPM aliiba, huwezi mzuia mtu kusema.
 
hayo ni kwa mujibu wako wewe. Watanzania mlizoea kudekezwa sana alipokuja mwamba ambaye anawachana makavu mkaona ni raisi mkatili. Kwa sasa unahitaji raisi zaidi Magufuli kuliko kitu chochote.

Hakuna maendeleo yeyote kwa sasa zaidi ya kugawana mabilioni ya kodi kwa njia za posho na semina pamoja na mikutano ya kumsifia mama.

Watu wanaiba hela na rushwa imerudi na kutamalaki mno. Huu ndio utaratibu ambao wengi mnaupenda ila hautusogezi kokote kama taifa. Kodi zinakusanywa na tozo kibao ila nchi iko pale pale.
Una roho ngumu sana !
 
Worst na nyokooo...[emoji852][emoji852]
FB_IMG_1657190750436.jpg
 
Back
Top Bottom