Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati

kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara Meli zakisasa kule Victoria, mara upanuzi wa bandari za Dar, Tanga na Mtwara kwa maramoja, mara upanuzi wa viwanja vya ndege Songwe, Mtwara, Bukoba, JK Nyerere

Mara barabara za lami kila kona, mara serikali kuhamia Dodoma, mara ujenzi wa mji wa serikali Dodoma, mara ujenzi wa mpya ikulu Dodoma, mara nidhamu maofisini, mara kuyavutisha pumzi yamoto mafisadi na vibaraka,
mara ujenzi wa stand zakisasa Dar, Dom nk, mara kawatimua wazungu na korona ya mchongo😂 mara kufumua mikataba ya kipumbàvu ya madini na bandari ya Bagamoyo khaaa, mpaka nimechoka ku type.

Kwakweli acha waendelee kuweweseka ila mzee Mwinyi Alisha maliza kuwa Magufuli kwa muda wa miaka 5 amewafunika wote, halafu mwamba hajawahi kwenda kujipendekeza huko ughaibuni. Viva JPM.
Uko sawa kama ulizaliwa baada ya mwaka 2000 na kwamba Tanzania ilipata uhuru mwaka 2015 toka kwa Waingereza. Haya nenda ukanye halafu ukalale maana huo ndiyo uwezo wa ubongo wako
 
Japo Kuna mema alifanya ila kifo cha yule mzee kweli Mungu aliamua kuingilia kati

Daah nikimkumbuka member mwenzetu wa jamii forum Ben saanane

Daaah hii roho inauma sana hasa ile post yake ya mwisho
Unajuaje kua MUNGU aliingilia kifo cha JPM? Iwapo siyo ufedhuri huu unaongea, ukimkumbuka huyo member una uhakika gani na unacho maanisha?
 
WATU WASIOJULIKANA
UFISADI WA KIHISTORIA (TRILLION 1.5 ZINAPOTEA GHAFLA NDANI YA MWAKA WA KWANZA WA HAPA KAZI TU)
MIILI KUOKOTWA KWA SANDARUSI.
KUJENGA INTERNATIONAL AIRPORT KIJIJINI KWAKE.
KUBAKA UCHAGUZI 2020
KUNUNUA WAPINZANI.
KUMPIGA RISASI TUNDU LISU.
KUFUNGIWA VYOMBO VYA HABARI.
KIFO CHA BEN SAA NANE NA AZORY.

YES HUYU NDO RAIS BORA ZAIDI KULIKO WOTE.

"HEY WAITER NIongezee konyagi jibapa niende zangu kulala"
Utakua wewe ni mwehu mwehu
 
Akili ya kichwa kimoja cha JPM ni sawa na akili za vichwa 500 vya hawa tulio nao sasa ukimwondoa MKM.
 
Maneno ya wanaompinga ndio yanasababisha hadi tuamue tu kuwajibu!

Ukweli ni kwamba, walijitahidi sana kwenda kumzika kule chato kwa awamu ya pili. Badala ya kwenda kuadhimisha kifo cha baba wa taifa huko butiama trh 14/10 wakaenda chato. Walidhani watazika fikra zake mioyoni mwa watanzania.

Ukweli ni kwamba bado yupo sana. Pamoja na yote yanayosemwa ila wapo wanaomwamini. Na wataendelea kuwepo hadi vizazi vyote! Wasitumie nguvu nyingi kumchafua.

Kuna msemo unasema 'the best way to destroy an enemy, is to make him your friend'
Tena kwa njia hii, wangepata wafuasi wengi.
Lakini kumchafua ndio kunaongeza umaarufu wake. RIP legendary JPM!
 
Hata Mbowe kwenye speech yake alisema Magufuli alikuwa rais mwenye maono na mchapakazi kwelikweli na kuwataka Chadema waige tabia hiyo kama kweli wanataka maendeleo.
Naikumbuka hio speech ya mbowe 👏👏👏
 
Wenye vyeti vya ku forge bado mnapata shida sana, Magufuli alikuwa na huruma, wengine tungewakaanga kwenye vikaango kama samaki, hakuna kuleta ushenzi kwenye maslahi mapana ya taifa.

China majizi yananyongwa mi nashangaa sana mnadekezwa hapa, lazima nidhamu kazini iwepo.
Wewe zwazwaaa umejaza nini huko kichwani, Makonda na vyeti feki kapewa mkoa aongoze,bado unapiga kelele eti wenye vyeti feki, get your head checked mate😏😏😏
 
Wewe zwazwaaa umejaza nini huko kichwani, Makonda na vyeti feki kapewa mkoa aongoze,bado unapiga kelele eti wenye vyeti feki, get your head checked mate😏😏😏
Zwazwa ni wewe, kwanza hukunielewa, nimesema JPM alikuwa na huruma hakuchukua hatua stahiki, mbali na hapo wenye vyeti fake serikalini wamebaki wengi sana wakiwemo mawaziri.

Kwanza ilipaswa wapelekwe mahakamani kujibu mashtaka, nashangaa JPM aliwaacha, mshukuruni kwa hilo.
 
Back
Top Bottom