Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Hata Mbowe kwenye speech yake alisema Magufuli alikuwa rais mwenye maono na mchapakazi kwelikweli na kuwataka Chadema waige tabia hiyo kama kweli wanataka maendeleo.
Kamfufue uzikwe wewe.
Hata makaburu walijenga vyote kule SA lakini waliminya haki za watu , kuua . Kutesa na kuteka watu.kama magufuli tu
 
Kutoelewa tu ile yadhihirisha me zwazwaa🙌🙌🙌
 
Huyu mtu hatatokea rais mwema kama magufuli mpaka yesu arudi. Yaan tulitakiwa kumlinda asipatwe na janga lolote kwa dam ja nyama namlilia nitaendelea kumlilia mpaka naenda kaburini.
Nlimwamini next to God kwa maana fupi tu ukimwondoa Mungu mtu pekee angrniamlisha nifanye jambo bila kuuliza alikuwa ni magufuli.
 
Adolf Hitler aliifanyia mara milioni ya hayo Ujerumani lakini leo tunajua anakumbukwa kwa Nini
Hadi ndugu zake wameacha kutumia jina lake na kwa Magu mmebaki chawa uchwaraa mkiendelea kuimba na kuabudu sifa bandia
 
Wengi wanaomsifu Magufuli ni wanafiki. Mimi mtu anayemwaga damu ya mwingine au kumbagua mwingine namfuta kabisa. Karma ilimuondoa huyo katili na mbaguzi.
Wengi wenu ni wapumbavu na msio penda kuwajibika,..

Mpingaji wa Magufuli yeyote, ni lazima awe mzembe, mwizi, mpiga madili,
 
Wengi wenu ni wapumbavu na msio penda kuwajibika,..

Mpingaji wa Magufuli yeyote, ni lazima awe mzembe, mwizi, mpiga madili,
Binafsi magu amenifundiaha kuipenda sana tanzania, amenifundisha kufanya kazi kwa bidii, amenifundisha uzalendo mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…