DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen.
1. Kwanza wanajua mapenzi na wasafi wa kiwango cha SGR, unakula tunda lile lenye viwango vya ubora toka TBS yani ile kitu grade 1 tofauti na hivi visichana hata kufua chupi havijui.
2. Siyo wasumbufu hata kidogo mnapopanga appointment hufika kwa wakati na hata wakichelewa wanakua na sababu za kueleweka. Hakuna mambo ya mama yupo nyumbani, mara utume nauli, akuambie gari imepata ajali wamekufa wote. Yani huku hizo mambo hakuna.
3. Kwenye kupewa kipochi manyoya hakuna usumbufu ni uwezo wako tu unajipimia tani zako. Huku hakuna UTI, kaswende.
4. Kwenye kupewa ushauri wa maisha yaani huku nakula nondo za kutosha, yaani toka niwe naye maisha yangu yanabadilika siku hadi siku
.