moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji23][emoji23][emoji23]niache hukoUlisema nini tena mrembo?
Alafu una lips sexy jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]niache hukoUlisema nini tena mrembo?
Alafu una lips sexy jamani
Jamani ata compliment tuu unaogopa....alafu utakuwa upo single wewe[emoji23][emoji23][emoji23]niache huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku mtakapo nikuta mbinguni naona nyie wote wa jf mtakufa kwa kihoro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio watoto wa siku hizi wako hivyo.Una 21yrs unakula mwenye 39yrs.
Amekuzidi 18yrs.
Kula mzigo dogo usisikilize watuYuko safi na kupima tushapima
Experienced horse is a good tool to climbe, niliwahi kusikia haka kamsemo sijui nimekosea auDunia inaenda kasi, zamani vijana walikua wanatafuta bikira sasa hivi wanatafuta super used zenye mileage ya kutosha.
Nilimpoteza kaka yangu kipenzi enzi hizo kwa kuwa Karibu na limama ati wanasoma wote, kumbe lilikuwa limefiwa na mumewe kwa ngoma. Mazoea yaka afanya waanze kulana akapata miaka hiyo ARv bado. K za bure ni ghali ajabu🤣🤣🤣 shimo shimoni unabaki kukuna kichwa tu chumbani alone.
Aisee kuna mwaka flani nilijihisi nimeukwaa kwa Sugar mammy mmoja hivi basi nikakaa for almost one year najiangalia tu litakalotokea.
Kuna mshkaji wangu yeye hapendagi haya mambo aisee nilimuona shujaa katika kipindi kile kifupi tu
Ukimwi wanao sana na dsm masugar mummy wengi wanapenda kujiendeleza kielimu hasa walimu. Daah wengine wana bill ya maziwa jioni kila siku na kikohozi kwa mbaliii(jiongeze mkuu)🤣🤣🤣🤣Nilimpoteza kaka yangu kipenzi enzi hizo kwa kuwa Karibu na limama ati wanasoma wote, kumbe lilikuwa limefiwa na mumewe kwa ngoma. Mazoea yaka afanya waanze kulana akapata miaka hiyo ARv bado. K za bure ni ghali ajabu
Pole sana mkuu lakin ukimwi saiv mpaka wasichana wa secondary na huko vyuo ndo usiseme kikubwa ni kumuomba mungu atunusuruNilimpoteza kaka yangu kipenzi enzi hizo kwa kuwa Karibu na limama ati wanasoma wote, kumbe lilikuwa limefiwa na mumewe kwa ngoma. Mazoea yaka afanya waanze kulana akapata miaka hiyo ARv bado. K za bure ni ghali ajabu
Nilivyosoma tu hii post yako nikahisi ni mzabzab kwa 85% nikaangalia jina kumbe ni wewe 100% .Tena ukute ni wale wanaokupa hadi mtando pendwa...utaona dunia ni yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dunia inaenda kasi, zamani vijana walikua wanatafuta bikira sasa hivi wanatafuta super used zenye mileage ya kutosha.
Upo sahihi maana wengine wamerithi toka kwa mama zao kabla au baada ya kuzaliwa. Ila watoto kujiingiza kwa mama zao ni khatari sana maana hii inaeneza ukimwi bila huruma. Afadhali Nega na Nandy maana angalau wanalingana, si ulibeba limama na ukaukwaaPole sana mkuu lakin ukimwi saiv mpaka wasichana wa secondary na huko vyuo ndo usiseme kikubwa ni kumuomba mungu atunusuru
...........Kwa mujibu wa Bw Ndugulile asilimia 40 ya maambukizi mapya ni vijana, ambapo katika asilimia hiyo 40.Usisahau sugar mammy hao kuwa wana ukimwi
Masugar mami hao wanakuwa wameathirika na wapo katika database. Vijana ndiyo wenye maambukizi mapya toka kwa Sugar mami. Hivyo andiko lako linaakisi ukweli wa statement yanguTa
...........Kwa mujibu wa Bw Ndugulile asilimia 40 ya maambukizi mapya ni vijana, ambapo katika asilimia hiyo 40.
.........“Changamoto imekuwa wanaume wengi hawajitokezi kupima kwa sababu ya uoga na vitu vingine, lakini takwimu pia zinaonesha kuwa maambukizi mengi mapya kwa sasa ni kwa vijana”, amebaini Naibu Waziri wa Afya wa Tanzania.
Imechapishwa na IRF, 14/11/2019 - 07:12