Hakuna wanawake watamu na wanaojua mapenzi kama sugar mumy

Hakuna wanawake watamu na wanaojua mapenzi kama sugar mumy

Kuna hawa wastaafu aseee ni wana balaa sio la kitoto
 
Nilimpoteza kaka yangu kipenzi enzi hizo kwa kuwa Karibu na limama ati wanasoma wote, kumbe lilikuwa limefiwa na mumewe kwa ngoma. Mazoea yaka afanya waanze kulana akapata miaka hiyo ARv bado. K za bure ni ghali ajabu
Daah, chuoni!?
 
Upo sahihi maana wengine wamerithi toka kwa mama zao kabla au baada ya kuzaliwa. Ila watoto kujiingiza kwa mama zao ni khatari sana maana hii inaeneza ukimwi bila huruma. Afadhali Nega na Nandy maana angalau wanalingana, si ulibeba limama na ukaukwaa
Hiyo Aya ya mwisho, ni kweli usemacho!? Duh itakuwa noma mbona
 
Ulishawahi kuuguza aliyeathirika? Au unapata ujasiri wa Keyboard tu
Hakuna mtu atakayeishi milele huo ndo ukweli uwe huna ukimwi au unao hutaishi milele unaogopa ukimwi umeshamuona mgonjwa wa Kansa au kisukari wanavyoteseka

Kuna ndugu yangu kila siku anakunywa sawa ya kupunguza cholesterol mwilini mtu kama huyo anatofauti gani na mtu wa ukimwi
 
My sugar Mammy🤗🤗🤗
20220816-23401.jpg
 
Hakuna mtu atakayeishi milele huo ndo ukweli uwe huna ukimwi au unao hutaishi milele unaogopa ukimwi umeshamuona mgonjwa wa Kansa au kisukari wanavyoteseka
Usiwe kama walokole ambao wanadai wanapenda kwenda kwa Baba Mbinguni, wakati njia ya kumfikia ni kifo. Ila wakiungua wanakimbilia hospitali. Kinga ni bora katika maisha.
 
Usiwe kama walokole ambao wanadai wanapenda kwenda kwa Baba Mbinguni, wakati njia ya kumfikia ni kifo. Ila wakiungua wanakimbilia hospitali. Kinga ni bora katika maisha.
We ndo hunatofauti na walokole ambao wanaogopa ukimwi wakidhani wataishi milele ndo wewe
Kwa kusaidia ukimwi unaweza upata kwa mtu ambaye unamuamin sana
Kwa hiyo usiogope ukimwi kijana
 
Back
Top Bottom