Hakuna watu wajinga kama watu wanaoamini habari za kichawi

Kifupi we ndo mjinga
 
Tatizo kubwa liko kwako.
Maana inaonekana hata maana ya uchawi huijui so unakosoa usichokijua.
Ungejitoa ujinga kwanza kwa kuanza kukijua kile unachokipinga.
 
Mkuu Uchawi upo na umeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu vya dini. Sema tu bado hujaingia kwenye anga zao sababu wanaona wewe si threat kwao.
 
Kijana kamaliza certificate hapo daslamu basi anajiona kwamba ana maarifa ya kutosha kuhusu huu ulimwengu

Niwaambie tuu nyie ni mapopoma wa viwango vya juu, bado mnanuka maziwa, you know nothing.

Hakuna kitu mnajua kwenye ulimwengu wa roho, endeleeni kudanganyana siku ukitoka kwa shemeji yako utajua, How things work.

Uchawi upo.
 
[emoji817]
 
Unaweza kuuthibitisha uchawi?
Kuna vitu ktk huu ulimwengu huwezi vithibitisha, hata hiyo science hua inaamini uwepo wa vitu fulani ila kuvithibitisha hua ni ngumu. Na ndio mana kwanza ili mtu aamini uwepo wa vitu kama hivyo kwanza kabisa hua inatengenezwa imani ndani yake juu ya hilo jambo then baadae inapelekea mtu huyo kuamini pasi na mashaka yoyote.
 
Mkuu Uchawi upo na umeandikwa hata kwenye vitabu vitakatifu vya dini. Sema tu bado hujaingia kwenye anga zao sababu wanaona wewe si threat kwao.
Yeye mwenyewe atakuwa ndiye mwenye hizo 'anga anaishi humu humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…