Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #181
Mpaka mlimani kabisa kileleni..? Panazidiwa na njombe, mafinga ..?
Na huko kuna boda boda, maana mada, anawasifia bodaboda wamefinga. Wasivyojari baridi.1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.
2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mabomba hayatoi maji huko bila heater ndani haulali.
Ushawahi fika Mafinga lo??? Siku tufanye savei twende tukaexperience baridi yahuko!
Hapana sijawahi bado, ila nimeishi nchi zenye baridi kali mpka inabidi mrekebishe majira ya saa...Ushawahi fika Mafinga lo??? Siku tufanye savei twende tukaexperience baridi yahuko!
Mkuu hapo fika june hadi July.. ungepitiliza na basi 😀😀. Ila kweli boda wa hapo hawana tamaa, wapo fair sana hata kugombania abiria hovyo hovyo hawana.Kama hujawahi kufika Mafinga au njombe na hujawahi toka nje ya nchi kamwe usije semà uliwahi kusikia baridi
Santo sana kwa taarifa lo.Hapana sijawahi bado, ila nimeishi nchi zenye baridi kali mpka inabidi mrekebishe majira ya saa...
Mkuu mafinga nishawahi fika same na muda uliofika tena sikua na zijua gest.sema nikajatibu kulala kwa bus na abiria wengine mbona nilitoka na kusogea pemben kuna mama alikua anajiko la mkaa. Aisee baridi ile ni noma ila sio kwamba ni zaidi ya kilimanjaro mlimani kule mliman nibalaa lingine mpaka miguu haitembei. Mdomo haunyanyuki. Kwa KLM n kule mlimani sema kuna tanga lushoto magamba napo ni hatari mwezi 6+ inapuliza sio poa.Juu Kabisa hapana.
Ila Mkûu nenda mwenyewe ukajionee. Mimi mwenyewe nilidhani sehemu yenye baridi Tz NI Arusha na Moshi Kwa Sababu ndîo sehemu nilizokuwa nikiishi na kupita nyakati za utoto.
Maeneo kama Suji, chome, Tae, Mamba, Lushoto, Rombo, Marangu, Arusha, Tarangire, Bahati, Matombo, Kibati, Huko nilidhani kûna baridi lakini Siku nimefika Makete nilibadili mtazamo kabisa
Ulaya mwenyewe ndio namna hiiSasa Ulaya hautaki kwenda maana Huko ndiko baridi ilipo
Ulaya mwenyewe ndio namna hii
Siendi hata niambiwe kila mwezi napewa million 10
Siku utembelee Mufindi ndani ndani upate debe 3 za parachichi na 2 za appleMasaa matatu nikatoe elfu 40 thubutu Yake.
Unajua hiyo NI nauli ya kunirudisha Dsm
Siku utembelee Mufindi ndani ndani upate debe 3 za parachichi na 2 za apple
Mkuu uko miti haikauki na baridi kweli yani inaungua na barafu😀😃😃😁 Mafinga cha Mtoto. Jana Nilienda sehemu moja panaitwa Lulanzi kule Kilolo juu. Nilienda kununua shamba la Parachichi. Kule ni balaa mkuu. Alafu sio mshipa wa kichwa kuuma tu, na masikio nayo yanapigwa baridi hatari ukiwa umepanda bodaboda.
Kule ni hatari mkuu. Jana sijui ilikuwa inasoma Temperature kiasi gani. Inaweza kuwa 5 au 6°C. Wale watu wa kule wanapata shida sana. Bodaboda kule wana tabu sana. Mungu awasaidie. Aiseeeee
Kuna tijamaa utaskia chuga na Moshi kuna baridi kinoma..Kama hujawahi kufika Mafinga au njombe na hujawahi toka nje ya nchi kamwe usije semà uliwahi kusikia baridi
Kuna tijamaa utaskia chuga na Moshi kuna baridi kinoma..
Ukifika lodge zao wanatumia feni😀
😂😂😂🤣Kuna kipindi nilienda mafinga nikapanda bodaboda saa 8 usiku ilibidi nikumbatie exhaust ya pikipiki kwasababu ya baridi