Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #181
Mpaka mlimani kabisa kileleni..? Panazidiwa na njombe, mafinga ..?
Juu Kabisa hapana.
Ila Mkûu nenda mwenyewe ukajionee. Mimi mwenyewe nilidhani sehemu yenye baridi Tz NI Arusha na Moshi Kwa Sababu ndîo sehemu nilizokuwa nikiishi na kupita nyakati za utoto.
Maeneo kama Suji, chome, Tae, Mamba, Lushoto, Rombo, Marangu, Arusha, Tarangire, Bahati, Matombo, Kibati, Huko nilidhani kûna baridi lakini Siku nimefika Makete nilibadili mtazamo kabisa