Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

Mpaka mlimani kabisa kileleni..? Panazidiwa na njombe, mafinga ..?

Juu Kabisa hapana.

Ila Mkûu nenda mwenyewe ukajionee. Mimi mwenyewe nilidhani sehemu yenye baridi Tz NI Arusha na Moshi Kwa Sababu ndîo sehemu nilizokuwa nikiishi na kupita nyakati za utoto.
Maeneo kama Suji, chome, Tae, Mamba, Lushoto, Rombo, Marangu, Arusha, Tarangire, Bahati, Matombo, Kibati, Huko nilidhani kûna baridi lakini Siku nimefika Makete nilibadili mtazamo kabisa
 
1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.

2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mabomba hayatoi maji huko bila heater ndani haulali.
Na huko kuna boda boda, maana mada, anawasifia bodaboda wamefinga. Wasivyojari baridi.
 
Kama hujawahi kufika Mafinga au njombe na hujawahi toka nje ya nchi kamwe usije semà uliwahi kusikia baridi
Mkuu hapo fika june hadi July.. ungepitiliza na basi 😀😀. Ila kweli boda wa hapo hawana tamaa, wapo fair sana hata kugombania abiria hovyo hovyo hawana.
 
Juu Kabisa hapana.

Ila Mkûu nenda mwenyewe ukajionee. Mimi mwenyewe nilidhani sehemu yenye baridi Tz NI Arusha na Moshi Kwa Sababu ndîo sehemu nilizokuwa nikiishi na kupita nyakati za utoto.
Maeneo kama Suji, chome, Tae, Mamba, Lushoto, Rombo, Marangu, Arusha, Tarangire, Bahati, Matombo, Kibati, Huko nilidhani kûna baridi lakini Siku nimefika Makete nilibadili mtazamo kabisa
Mkuu mafinga nishawahi fika same na muda uliofika tena sikua na zijua gest.sema nikajatibu kulala kwa bus na abiria wengine mbona nilitoka na kusogea pemben kuna mama alikua anajiko la mkaa. Aisee baridi ile ni noma ila sio kwamba ni zaidi ya kilimanjaro mlimani kule mliman nibalaa lingine mpaka miguu haitembei. Mdomo haunyanyuki. Kwa KLM n kule mlimani sema kuna tanga lushoto magamba napo ni hatari mwezi 6+ inapuliza sio poa.
 
😀😃😃😁 Mafinga cha Mtoto. Jana Nilienda sehemu moja panaitwa Lulanzi kule Kilolo juu. Nilienda kununua shamba la Parachichi. Kule ni balaa mkuu. Alafu sio mshipa wa kichwa kuuma tu, na masikio nayo yanapigwa baridi hatari ukiwa umepanda bodaboda.

Kule ni hatari mkuu. Jana sijui ilikuwa inasoma Temperature kiasi gani. Inaweza kuwa 5 au 6°C. Wale watu wa kule wanapata shida sana. Bodaboda kule wana tabu sana. Mungu awasaidie. Aiseeeee
Mkuu uko miti haikauki na baridi kweli yani inaungua na barafu
 
Kuna tijamaa utaskia chuga na Moshi kuna baridi kinoma..
Ukifika lodge zao wanatumia feni😀

Moshi na Arusha nimeishi. Hakuna hiyo baridi Kali labda wale es Kule Rombo Mlimani.

Semà Sisi Watu wa Kaskazini tunajua kupromo vya kwetu
 
Back
Top Bottom