Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mmmhhh, sasa mimi 28 degrees C natetemeka, huko si ntakufa mapema tu!!!Kama hujawahi kufika Mafinga au njombe na hujawahi toka nje ya nchi kamwe usije semà uliwahi kusikia baridi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhh, sasa mimi 28 degrees C natetemeka, huko si ntakufa mapema tu!!!Kama hujawahi kufika Mafinga au njombe na hujawahi toka nje ya nchi kamwe usije semà uliwahi kusikia baridi
Mmmhhh, sasa mimi 28 degrees C natetemeka, huko si ntakufa mapema tu!!!
Sizowei nakwambia natkufa haraka sana. Mimi mwili wangu na baridi vitu viwili tofauti tena tangu nipo mdogo. Yaani baridi kdg tu nakuwa mnyonge hatari. Kuna kipindi nilienda Arusha na ilikuwa Dec aisee week 1 nilikuwa naona haimalizi. Hadi maji ya kufua na kuoshea vyombo napasha moto.Huku utazoea tuu.
Ila kama ngozi yako inabagua Hali ya hewa inaweza kukuletea shida
Hiyo 28 ⁰c mbona NI joto Kali Hilo.
Huku inasoma 5- 9
Sizowei nakwambia natkufa haraka sana. Mimi mwili wangu na baridi vitu viwili tofauti tena tangu nipo mdogo. Yaani baridi kdg tu nakuwa mnyonge hatari. Kuna kipindi nilienda Arusha na ilikuwa Dec aisee week 1 nilikuwa naona haimalizi. Hadi maji ya kufua na kuoshea vyombo napasha moto.
Kuna kaka yangu alipata kazi kwenye kampuni moja alkipangiwa Arusha, mwezi tu aliwacha kazi na alikuwa amepata post nzuri yenye mshahara mnono
Vijana wetu WA kaskazini tunalakujifunzaKwa uaminifu vijana wa nyanda za juu kusini hawana mpinzani. Arusha na Moshi wana la kujifunza.
1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.
2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mabomba hayatoi maji huko bila heater ndani haulali.
Shinyanya, kahama kuelekea Geita na Mwanza jua linawaka kama limeshushwa, hiyo baridi ilibidi ipite na lake zone kupooza moto
bora umesema wewe. lakini kwa hapo Tanzania nambari 1 kwa baridi ni mkoa wa Njombe. mamaye kule ni hatari. lakini baridi la lesotho si kitu kwa baridi nililowahi kukutana nalo warsaw. mnara ulikua hautaki kusimama..baridi inaleta uhanithi mazee.1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.
2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mabomba hayatoi maji huko bila heater ndani haulali.
mrembo upo? kufa hufi ila cha kujamba utakiona.Mmmhhh, sasa mimi 28 degrees C natetemeka, huko si ntakufa mapema tu!!!
Mkuu kuna moshi mlimani huko unapajua baridi lake..? Kuna lushoto magamba huko napo ni balaa pia baridi ipo maeneo mengi tu tz. Ila ya moshi mlimani inaumiza mpaka mifupaKama hujawahi kufika Mafinga au njombe na hujawahi toka nje ya nchi kamwe usije semà uliwahi kusikia baridi
umenena. huwa nawaambia machalii arusha yetu ile ni baridi kama ya AC tofauti na ya Njombe ile inaunguza sio baridi ni balaaDuniani Sawa ila Kwa Hapa Bongo Hakuna sehemu yenye baridi Kali kama Mafinga na njombe.
Huko Arusha sijui Lushoto NI chamtoto
Yaani kwa hadithi ninazoziskia siendi, niende nikafanye nini?😃😃
Sasa Hapo Arusha cha Mtoto
Fanya utalii Siku Moja ufike Mafinga, njombe au Makete hakika utafurahia show Kwa sababu utaenda Kwa Ajili ya ûtalii tuu.
Ogopa sehemu àmbayo Friji siô biashara
Yaani kwa hadithi ninazoziskia siendi, niende nikafanye nini?
Kuna sister wangu kakulia Arusha na Moshi lkn alipopangiwa chuo Lushoto alishindwa. Yaani kasoma miezi 6 ya mwanzo tu, hajarudi tena 😂
umenena. huwa nawaambia machalii arusha yetu ile ni baridi kama ya AC tofauti na ya Njombe ile inaunguza sio baridi ni balaa
Mkuu kuna moshi mlimani huko unapajua baridi lake..? Kuna lushoto magamba huko napo ni balaa pia baridi ipo maeneo mengi tu tz. Ila ya moshi mlimani inaumiza mpaka mifupa
huyo ulaya tunarudisha akiwa kwenye diriiipu hoi taabani 🤒Yaani kwa hadithi ninazoziskia siendi, niende nikafanye nini?
Kuna sister wangu kakulia Arusha na Moshi lkn alipopangiwa chuo Lushoto alishindwa. Yaani kasoma miezi 6 ya mwanzo tu, hajarudi tena 😂
Mpaka mlimani kabisa kileleni..? Panazidiwa na njombe, mafinga ..?Mkûu nimepanda Mpaka Mlimani Kilimanjaro.
Moshi hasa maeneo ya Marangu na Rombo kûna baridi Sana na Moja ya sehemu Zenye baridi Sana lakini kajaribu Njombe Mkûu, utajionea mwenyewe