Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Imenibidi Niigoogle SIBERIAN
Huo ukungu ndîo hali halisi ya Huko Mafinga na njombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imenibidi Niigoogle SIBERIAN
Huko hali ni mbaya Ina maana hata Greenland afui dafuImenibidi Niigoogle SIBERIAN
Haina ya Samaki kukaa kwenye Freezer. Temperature inasomaga mpaka Negative 50°
Yeah hata mimi Njombe wakati naishi nilizoea na nikawa naoga maji yale ya baridi kabisa na fresh ,navaa Vest fresh ila Makete sikuwahi kuwaza huo upuuzi kule ilikua zaidi ya hatariKuna siku nilipita na TAZARA hapo asubuhi (saa kumi na mbili) huku tumepewa mablanketi mazito, abiria mwenzangu ananiamsha, kuangalia nje vitoto vidogo vipo tumbo wazi! Hapo nikakumbuka ule msemo "binadamu anaishi kulingana na mazingira"!
Ushawahi kuona mkinga analilia mapenzi?
Huko ni pesa tu wanawaza, hilo baridi kawaida
Una uhakika lakini na unachosema?Ushawahi kuona mkinga analilia mapenzi?
Huko ni pesa tu wanawaza, hilo baridi kawaida
Huyo hajui baridi sehemu kama mafinga unapataje ujasiri wa kulala nje option ni Moja tu labda uwepo moto
HIi sasa kambaKuna kipindi nilienda mafinga nikapanda bodaboda saa 8 usiku ilibidi nikumbatie exhaust ya pikipiki kwasababu ya baridi
Baridi imeharibu saikolojia😃😃
Wakinga wanamatatizo ya kisaikokojia yanayotokana hii baridi
Baridi imeharibu saikolojia
Nilifika apo mida kama yako,boda kanipeleka bar moja ipo Kwa juu ukipandisha mlima,na baridi lote cha kushangaza nakuta watu wanapiga bia za baridi
Afu baridi Ina impact gani kwenye kimo Cha watu maana nyanda za juu kusini kukutana na watu warefu ni nadra sanaBaridi imeharibu saikolojia
Afu baridi Ina impact gani kwenye kimo Cha watu maana nyanda za juu kusini kukutana na watu warefu ni nadra sana
Hao ni wakinga bro hivi unawajua wakinga vizuri jifanye Mwizi Mwizi bedui yakukute ndio maana wananyoosha maelezo sababu wanajua consequences za konakona ni zipiHii inaonyesha kama utapata kijana wa huku kûna uwezekano akawa mwaminifu ingawaje haimaanishi Hakuna àmbao siô waaminifu.
Hao ni wakinga bro hivi unawajua wakinga vizuri jifanye Mwizi Mwizi bedui yakukute ndio maana wananyoosha maelezo sababu wanajua consequences za konakona ni zipi
Sehemu za baridi kama unaona mwili unakataa ni kheri ukakimbia mapema...
Mjifunze hata kujua miezi ya baridi hapa Tanzania ili ubebe hata makoto. Kuanzi June-August hunipeleki Makambako Njombe,Makete Lushoto na sehemu yoyote inayosifika kwa baridi hapa Tz.Bahati mbaya ilikuwa ni siku yangu ya kwanza sikubeba hata sweta nilikuwa natetemeka kama kinda la ndege
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Miaka ya 90 nikiwa nronga - machame kuna kampuni moja ya msaada kama sikosei ni DANIDA ilisambaza maji kwa kutumia mabomba ya chuma.1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.
2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mabomba hayatoi maji huko bila heater ndani haulali.