financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Uliomba blanket mkuu😄😄 ulifanikiwa?Mafinga ni habari nyingine Nina experience napo kimsingi usemacho ni kweli kabisa Kuna Uzi wangu humu nilishawahi kuomba msaada wa blanket
Msaada: Yeyote aliyeko Makambako anisaidie blanket hii baridi itaniua leo
Kwa unyenyekevu kabisa Wana JamiiForums walioko Mafinga naomba mnisaidie Blanket la kujifunika usiku wa leo mwili wangu una changamoto na baridi. Nimeenda kuulizia madukani bei yake sio rafiki na bajeti niliyokuwa nayo. Nipo desperate labda kadri siku zinavyoenda nitakuwa kwenye Hali yangu ya...www.jamiiforums.com