Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Makambako baridi kavu emu nenda uje ufungue uziMkuu njombe kuna bardi wewe..
Au ulipita kwa gari tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makambako baridi kavu emu nenda uje ufungue uziMkuu njombe kuna bardi wewe..
Au ulipita kwa gari tu
Mkuu chai bila kitafunwa ni kututesa.Kuna kipindi nilienda mafinga nikapanda bodaboda saa 8 usiku ilibidi nikumbatie exhaust ya pikipiki kwasababu ya baridi
Daaah jua la kule ni tochi tuuMakambako baridi kavu emu nenda uje ufungue uzi
Njombe nimekaa naijua vizuri kibena,ramadhani,wikichi,kifanya,sabasaba,Mji mwema,ruhuji nk so naelewa ninachosema Njombe mjini baridi ipo ila haitesi kama ya Makete. Ile ya Mafinga na makambako ina upepo fulani hivi noma sana mzee.Mkuu njombe kuna bardi wewe..
Au ulipita kwa gari tu
Ahaha ngoja atushushe kwanzaMkuu chai bila kitafunwa ni kututesa.
Exhaust ya pikipiki moto wake ni kama jiko.Ahaha ngoja atushushe kwanza
Kwamba wewe unataka battle la sehemu zenye baridi sasa!!!? 😁1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.
2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mambomba hayatoi maji
Ahaha acha mkuu acha kabisa...Exhaust ya pikipiki moto wake ni kama jiko.
Walininyima🤣Uliomba blanket mkuu😄😄 ulifanikiwa?
Sio mchezo kabisaNjombe mjini baridi ipo ila haitesi kama ya Makete.
Njoo Mafinga ujionee.Mkuu serious hakuna watu wanalala nje...
Kwanini wakati hata mbu hakuna kabisa
Mkuu nipo hapa kwa sasa kikazi.
Huu mji baridi ni kali sana boda mbali na kuvaa gravu lakini mikono yao kutwa ganzi.
Job huwa naingia saa moja na nusu lakini baridi yake ni hatari sana.
Ahahah wanaogopa bardi wanaume wa mikoani..?Njoo Mafinga ujionee.
Huku walalanje hakuna
Ahahah wanaogopa bardi wanaume wa mikoani..?
Huyo hajui baridi sehemu kama mafinga unapataje ujasiri wa kulala nje option ni Moja tu labda uwepo motoNjoo Mafinga ujionee.
Huku walalanje hakuna
Kuna siku nilipita na TAZARA hapo asubuhi (saa kumi na mbili) huku tumepewa mablanketi mazito, abiria mwenzangu ananiamsha, kuangalia nje vitoto vidogo vipo tumbo wazi! Hapo nikakumbuka ule msemo "binadamu anaishi kulingana na mazingira"!makambako ina upepo fulani hivi noma sana mzee.