Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

1. Tembea duniani ukutane na baridi. Ya Mafinga cha mtoto.

2. Niliwahi kuishi Lesotho baridi mpaka Maji kwenye mabomba yanaganda. Mambomba hayatoi maji
Kwamba wewe unataka battle la sehemu zenye baridi sasa!!!? 😁
 
Mkuu nipo hapa kwa sasa kikazi.

Huu mji baridi ni kali sana boda mbali na kuvaa gravu lakini mikono yao kutwa ganzi.

Job huwa naingia saa moja na nusu lakini baridi yake ni hatari sana.

Majira ya jioni na Usiku mambo huwa Magumu zaidi.
Vijana WA boda Kazi wanayo
 

Wednesday 21 Aug 2024​


  • Vipindi vya Jua
  • Vipindi vya Jua

  • Min 9°C
  • Max 21°C



  • Vipindi vya Jua
  • Vipindi vya Jua

  • Min 9°C
  • Max 21°C

Friday 23 Aug 2024​


  • Vipindi vya Jua
  • Vipindi vya Jua

  • Min 9°C
  • Max 21°C

Saturday 24 Aug 2024​


  • Vipindi vya Jua
  • Vipindi vya Jua

  • Min 9°C
  • Max 20°C

Sunday 25 Aug 2024​


  • Vipindi vya Jua
  • Vipindi vya Jua

  • Min 9°C
  • Max 22
 
Imenibidi Niigoogle SIBERIAN

Haina ya Samaki kukaa kwenye Freezer. Temperature inasomaga mpaka Negative 50°
 

Attachments

  • S4SKQK2FS5BFXBUMNEZNW6OAWQ.jpeg
    S4SKQK2FS5BFXBUMNEZNW6OAWQ.jpeg
    76.9 KB · Views: 8
  • SZ6FZ42QJXGMJPTTLRGZHI2QEM.jpg
    SZ6FZ42QJXGMJPTTLRGZHI2QEM.jpg
    62 KB · Views: 8
  • LAFC3RRQV3LEE55AXTCZFHV7HU.jpg
    LAFC3RRQV3LEE55AXTCZFHV7HU.jpg
    19.8 KB · Views: 8
  • OMJ3ELMK5U3B7VDAW5HPGQLIRY.jpg
    OMJ3ELMK5U3B7VDAW5HPGQLIRY.jpg
    23.1 KB · Views: 8
Back
Top Bottom