Hakuna watu wenye roho nzuri kama walevi

Hakuna watu wenye roho nzuri kama walevi

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Wakuu kwanza mimi siyo mlevi,
Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi.
Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi.
Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi.

Walevi wa pombe, bangi n.k
Hawa watu wakisaidia wanasaidia kweli kweli bila kinyongo.
Hongereni sana walevi.
 
Wakuu kwanza mimi siyo mlevi,
Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi.
Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi.
Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi.

Walevi wa pombe, bangi n.k
Hawa watu wakisaidia wanasaidia kweli kweli bila kinyongo.
Hongereni sana walevi.
Amina sana..[emoji23][emoji23][emoji23]

Hakuan watu wanaroho ngumu kama wale wanaojiita walokole aisee yani mtu anajaza uwanja kwa wat wanotoa sadaka lakini hata orphanage hajengi..!!

Siku hizi wenyeshida hawaendi kanisani tena.. wanakuja kuomba Bar kwa walevi so unachokisema ni sahihi sanaaaa
 
Kwenye suala la kuzungusha round ni kweli kabisa. Lakini hapo kwenye hela ya kueka mfukoni, walevi wote hua hawapendi hyo biashara. Kulewa ni karamu, kila mtu anakaribishwa, lakini kutoa hela hyo ni kama kumfanyia mtu mwingine kazi af alipwe yeye
 
Back
Top Bottom