goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Juz bhna wkt wa gemu ya taifa star nilibugia kvant ndogo Maeneo ya buza game ilivyoisha nikarud mtaan kwangu keko bas bhna jamaa mmoja kanifata kanielekeza shida yake ya kufiwa kigom na baba ake so alitoka uko kuzika na amerudi dar na yey Ni muuza chai kahawa mtaan Happ yey anadai ananijuwa mm .mm cmjui so aliniomba nimsadie mtaji wa shiling elf tano aasbuh aanze Kaz ya kuuza kahawa nilikuwa Nina elf tano tu mfukoni ilinibid nimpe tu mpk leo hajarudisha den Langu na sijui anauzia wapi kahawa yake nisinge lewa asilani asingepataWakuu kwanza mimi siyo mlevi,
Ila Hakuna watu wenye ubinadamu kama walevi.
Anzia wachungaji, maaskof mpaka polisi.
Ukipata shida fulani watafute kwanza walevi.
Walevi wa pombe, bangi n.k
Hawa watu wakisaidia wanasaidia kweli kweli bila kinyongo.
Hongereni sana walevi.