Hakuna watu wenye roho nzuri kama walevi

Hakuna watu wenye roho nzuri kama walevi

Amina sana..[emoji23][emoji23][emoji23]

Hakuan watu wanaroho ngumu kama wale wanaojiita walokole aisee yani mtu anajaza uwanja kwa wat wanotoa sadaka lakini hata orphanage hajengi..!!

Siku hizi wenyeshida hawaendi kanisani tena.. wanakuja kuomba Bar kwa walevi so unachokisema ni sahihi sanaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nikiwa na wana wa kitaa kwanza tunakula pumbu za mbuzi/kondoo halafu tunaanza kunywa nax za kushanta mchana tunakula pua na masikio ya kitomoto kwa washalala hapo cheka ung'atwee tunaendelea kulewa.
Haya ni matusi chalii😂😂
 
Abarikiwe aliegundua pombe aisee, pombe iliwahi kunivusha kwenye tukio fulani hivi 2012 mpaka kesho naishukuru sana.
 
Hili liwe somo kwetu sisi tunaojiita walokole.

Ni kweli kabisa,walevi huwa wana ushirikiano wa hali ya juu sana..
Ambao huu ushirikiano ,watu wa kanisani wameshindwa kuwa nao.


Hata katika mambo mengine,mfano mziki,,,watu wa ulimwengu wanabebana sana..kanisani hakuna haya mambo ya kusaidiana..na kama yapo basi ni Kwa kiiwango kidogo sana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom