Hakuna Waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote kwani anajitahidi sana

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana.

No doubt for this.
She's working hard.

Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this.

Uzi umeishia hapa. Ova
 
Nyinyi ndio watu wake mnapewa vijisent akisemwa mabaya yake hapa mnakuja na uzi kumpongeza
 
Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana.

No doubt for this.
She's working hard.

Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this.

Uzi umeishia hapa. Ova
Awekwe pembeni
 
Mmh.
 
Ukipata airtime ya kutosha kwenye tv ndo unafanya kazi sana ?
 
images - 2022-01-08T141431.687.jpeg

Katika harakati za kujisafishia njia kuelekea mkeka mpya
 
Ok kuonekana sana kwenye media ndio kufanya kazi.
 
Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana.

No doubt for this.
She's working hard.

Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this.

Uzi umeishia hapa. Ova
Ana sifa za kijinga anajengaje madarasa halafu walimu hakuna? Mwambie aajiri walimu.
 
Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana.

No doubt for this.
She's working hard.

Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this.

Uzi umeishia hapa. Ova
Hii ni promo kama promo zingine tu. Lakini sa hivi anazidi kulamba miguu ya watoa madaraka, kuna mawaziri ni wapiga kazi sema si wa media, mf. Lukuvi na Aweso
 
Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana.

No doubt for this.
She's working hard.

Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this.

Uzi umeishia hapa. Ova
Yule hata msukuma na kibajaji wanamzidi sijui ana elimu gani anatuharibia elimu msingi anafit kwenye kupigia wenzake kampeni siyo kuongoza wizara
 
Back
Top Bottom