Hakunaga mimba ya bahati mbaya

mzabzab bana 😁😁😁😁
Kwahiyo nijiandae kwa safari??πŸ™‚
Ah kabisa yani ...tena beba nguo mbili tuu maana wakati wakuridi utarudi na mabegi ya nguo kama yote.
Ila anagalizo tuu...usimpoe utamu atakayekupeleka dubai maana umeonyesha kuwa muelewa usije ukaharibu
 
Ah kabisa yani ...tena beba nguo mbili tuu maana wakati wakuridi utarudi na mabegi ya nguo kama yote.
Ila anagalizo tuu...usimpoe utamu atakayekupeleka dubai maana umeonyesha kuwa muelewa usije ukaharibu
🀣🀣🀣🀣

Vigezo na masharti kuzingatiwa sio? Ntajitahidi kutojisahaulisha πŸ™‚πŸ™‚
 
Nimekuja mbio nilidhani una mimba Lizzy 🀣🀣

 
Hahahahaha hapana watoto ni baraka toka kwa Mwenyezi Mungu. Wengi wanawatafuta kwa kutumia mamilioni au hata mabilioni hawaambulii kitu.
True.....buuuuut, baraka pale unapoweza kuwamudu kwa kila hali na kila namna. Zaidi ya hapo ni kuwatesa, kujitesa na kutesana πŸ˜“πŸ˜“
 
Hii kitu huwa nasisitiza kila siku hakuna mimba ya bahati mbaya,binti haujaolewa upo tu kwenye mahusiano,mwanaume wako unafanya nae ngono zembe,unasubiri nani aje akulinde na mimba zisizotarajiwa?au hujui kama kuna mimba?
Unafanya halafu ukipata mimba eti ya bahati mbaya what a fu....ck[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kuna mtu anaepanga kubakwa???πŸ™„
Ndio huwa wapo wanalewa na kujilengesha kwa vijana na ni usiku wanabakwa nao na kesho yake wazima. Haya mambo ya ajabu ajabu yapo mitaani. Hawaendi kusema popote wako kimya. Wanajificha kiaibu kwa muda halafu hao wapi tena mtaani. Huwa ni aibu kwa familia lakini wao wapo tu na baadae huzoeleka kwa vijana wanaopendo michezo ya namna hiyo. HATARI NI UKIMWI
 
We masaduku ukisema mtu anaejilengesha mwenyewe amebakwa na wanaobakwa kweli watasemaje????
 
Wanaume sisi askari akimka tu na kama mpo faragha mwanamke hana choice, mwanaume huwa tunatia hadi huruma tukiwa tunaomba, sasa upo kwa hatari askari kaamka na mpo sehemu inayoruhusu kufanya na hamna kinga, kwa hilo msijilaumu wanawake hapo ni hisia zimezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…