Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah kabisa yani ...tena beba nguo mbili tuu maana wakati wakuridi utarudi na mabegi ya nguo kama yote.mzabzab bana 😁😁😁😁
Kwahiyo nijiandae kwa safari??🙂
🤣🤣🤣🤣Ah kabisa yani ...tena beba nguo mbili tuu maana wakati wakuridi utarudi na mabegi ya nguo kama yote.
Ila anagalizo tuu...usimpoe utamu atakayekupeleka dubai maana umeonyesha kuwa muelewa usije ukaharibu
Safi kabisa. Sasa lini upo free tuchomoke zetu🤣🤣🤣🤣
Vigezo na masharti kuzingatiwa sio? Ntajitahidi kutojisahaulisha 🙂🙂
Kiukweli the so called "mimba za bahati mbaya" ni janga....
Ndio sababu kuu ya mabinti kutoa mimba hovyo, wanaume & wanawake kulazimishwa/lazimika ku-commit kwa watu ambao hawakua na nia nao, watoto wa mtaani, single family households kuongezeka na mengine mengi. Sadly mara nyingi kama sio zote, anaeumia sana ni mtoto ambae hakuchagua kuwa sehemu ya maisha yetu.
Now, if we were being honest...
Is there really such thing as "mimba ya bahati mbaya"???
Wanaume wanaweza wakatumia hiyo kauli kwa kisingizio cha "Sikujua kama uko kwenye siku za hatari" / "Nilijua anatumia dawa." etc etc....
Ila mwanamke unapokuwa sexually involved na jinsia ya kiume bila kinga/bila kuzingatia siku za hatari/bila kutumia contraceptive unatarajia nini kama sio kupata mimba???
Na wadada tunavyojua kulaumu sasa 🙄😏
Neway, what I'm trying to say is.....maamuzi ya kushika ama kutokushika mimba ultimately yanatuangukia sisi wadada hivyo tujitahidi kuwa responsible.
Kama hauko tayari kulea JUST BE RESPONSIBLE!
Kuna kondom, vidonge/sindano/vipandikizi vya kuzuia mimba bila kusahau utaratibu wa kuhesabu siku zetu....pick one and stick to it. Otherwise kuwa tayari kubeba na kukubali responsibility 100% with or without the man.
Tuache kulalamika kila siku na kufanya abortion kuwa kitu cha kawaida....
Kwanza bortion ni hatari sana...
Kuna waliopoteza maisha, walioharibu vizazi na kushindwa kuzaa walipohitaji kutoka na abortion.
#2 abortion ni illegal...
#3 abortion is unfair to all the little angels & future somebodys.
So please Copulate Responsibly!!!😉
Alafu hii meme wakaka muizingatie msije mkasema sikuwashauri....si mnajua science haipingiki???😁View attachment 1967783
True.....buuuuut, baraka pale unapoweza kuwamudu kwa kila hali na kila namna. Zaidi ya hapo ni kuwatesa, kujitesa na kutesana 😓😓Hahahahaha hapana watoto ni baraka toka kwa Mwenyezi Mungu. Wengi wanawatafuta kwa kutumia mamilioni au hata mabilioni hawaambulii kitu.
True.....buuuuut, baraka pale unapoweza kuwamudu kwa kila hali na kila namna. Zaidi ya hapo ni kuwatesa, kujitesa na kutesana 😓😓
Ndio huwa wapo wanalewa na kujilengesha kwa vijana na ni usiku wanabakwa nao na kesho yake wazima. Haya mambo ya ajabu ajabu yapo mitaani. Hawaendi kusema popote wako kimya. Wanajificha kiaibu kwa muda halafu hao wapi tena mtaani. Huwa ni aibu kwa familia lakini wao wapo tu na baadae huzoeleka kwa vijana wanaopendo michezo ya namna hiyo. HATARI NI UKIMWIKuna mtu anaepanga kubakwa???🙄
We masaduku ukisema mtu anaejilengesha mwenyewe amebakwa na wanaobakwa kweli watasemaje????Ndio huwa wapo wanalewa na kujilengesha kwa vijana na ni usiku wanabakwa nao na kesho yake wazima. Haya mambo ya ajabu ajabu yapo mitaani. Hawaendi kusema popote wako kimya. Wanajificha kiaibu kwa muda halafu hao wapi tena mtaani. Huwa ni aibu kwa familia lakini wao wapo tu na baadae huzoeleka kwa vijana wanaopendo michezo ya namna hiyo. HATARI NI UKIMWI
hahahaha"Eti ivue inaniumiza"
"Nina allergy na mafuta yake"