Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hadi sasa najiona malkia mkuu. The bold make me feel like a natural woman.
Kijana sio mtu wa mchezo mchezo [emoji6] [emoji85]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu The bold kwa heshima kubwa tunaomba umuandalie bibie andiko moja ambalo kila Siku litamfanya ajione kama mtoto mchanga anaedeka kwa mama yake,

Ni wazi sasa nifah uzee utausikia tu kwa talanta ya Mr from today you will be aging backwards
 

Sure
Sio kwa furaha hii...forever young [emoji4]
 
Khantwe wewe hauna mtu??
 
Hadi sasa najiona malkia mkuu. The bold make me feel like a natural woman.
Kijana sio mtu wa mchezo mchezo [emoji6] [emoji85]
Mama usimsifie sana ,watamnyanyukia wima The Bold hutaamini ,
Na shogazo wakija uwaweke kibarazani huko

[emoji38]
 
Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…