Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hadi sasa najiona malkia mkuu. The bold make me feel like a natural woman.
Kijana sio mtu wa mchezo mchezo [emoji6] [emoji85]
Asante mpendwa.Hongereni sanaa jamani
Mungu awatangulie katika mahusiano yenu
Inshallah cku moja tuje tugonge pilau la maana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu The bold kwa heshima kubwa tunaomba umuandalie bibie andiko moja ambalo kila Siku litamfanya ajione kama mtoto mchanga anaedeka kwa mama yake,
Ni wazi sasa nifah uzee utausikia tu kwa talanta ya Mr from today you will be aging backwards
Khantwe wewe hauna mtu??Tupo wengi aisee yaani watu wabaya sana hawa tangu nimepata habari ya hii couple sijaweza kupata usingizi[emoji13] ..haiwezekani wachaguane wao kwa wao. Nifah alitakiwa apate mwanaume boyaboya hivi na huyu shemeji apate mwanamke mjingamjinga hivi kama mimi ili kubalansi[emoji85]
Nimekuja kusalimia tu ,napita tu ndugu yanguAhsante bro..Bado upo upo..Au umekuja kusalimia tu
Poa kaka..Nategemea kukuona tenaNimekuja kusalimia tu ,napita tu ndugu yangu
Inshallah kaka ,Mungu ni mwema tutaonana tu panapo majaliwaPoa kaka..Nategemea kukuona tena
Kwetu mi ndo mkubwa..Sasa inakuaje?Namtoa wapi sasa...nitafutie kakako basi[emoji85]
Ukinifanya mama wa kambo wa Heaven Sent sio mbaya[emoji13]Kwetu mi ndo mkubwa..Sasa inakuaje?
Teh teh..Na binti yangu anakupenda kweli..Sidhani kama kuna tatizoUkinifanya mama wa kambo wa Heaven Sent sio mbaya[emoji13]
Ngoja aje anikubali yeye mwenyewe na mimi nimsikieTeh teh..Na binti yangu anakupenda kweli..Sidhani kama kuna tatizo
Haya mama..Douta Heaven Sent embu pita huku..Ngoja aje anikubali yeye mwenyewe na mimi nimsikie
Aisee..Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeamua unicheke..sawa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah Mkuu umenifanya nimecheka kwa sauti.! Thank you..