Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Almanusura vumbi litimke penye uzi huu ila busara zimetumika pamekuwa Shwari nawasindikiza na kibao cha chegge na almas "waache . .....
Fresh.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mambo vp
Asante mkuu, mwaka mpya nausubiria Arusha kwa msaada wa Mungu. Nakukaribisha sana Mkoani kwa LemaFresh.....
Hukuja ???? Xmass....
Karibu new yr
Ha haha lema??Asante mkuu, mwaka mpya nausubiria Arusha kwa msaada wa Mungu. Nakukaribisha sana Mkoani kwa Lema
Mkuu nimekuwa mlowezi huku, ninapofika korogwe tu kama naja Dar, natamani nigeuze Ar...joto linanishinda siku hizi, yaani nikaapo wiki moja tu naona kama mwaka. Nitakuja jan kwa muda mfupi sanaHa haha lema??
Njoo huku...
Mambo mazuri yahusike....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shogangu don't you think you are little harsh? Nadhani ni masikhara jamani lol tusijekuwa tunaofanya utani hapa tunakukeraNimetafakari sana nikujibu nini,kwanza sikujui na sijui lengo lako hasa la kusema yote haya ni nini.
Anyways... Tuseme wewe ni ex kweli,so what?
Kwani umesikia nilimuambia The bold mimi ni bikra ili iwe ajabu mimi kuwa na ex?
As long as sikumuambia hivyo that means ninao exes,na kuwa na exes sio kosa la jinai bali kosa ni kuendelea kupasha viporo na exes.
My dear,kama ulifikiri comment yako hii itavuruga chochote baina yetu umefail,ananijua vyema,anajua ni jinsi gani namaanisha kwake.
Nipo committed nae,I won't cheat him.
Wakati wako ulishapita,huu ni wakati wake sasa.
So my dearest ex,can you leave us alone pls?
Yani watu sijui mkoje! Na kwa kutambua hili tulishajipanga mapema kukabiliana na wale wote kama wewe,hamtoweza asilani.
#TheBoldIsMine#
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] shogangu don't you think you are little harsh? Nadhani ni masikhara jamani lol tusijekuwa tunaofanya utani hapa tunakukera
Ha haha....tunaivaa tuu na hili jotoo..Mkuu nimekuwa mlowezi huku, ninapofika korogwe tu kama naja Dar, natamani nigeuze Ar...joto linanishinda siku hizi, yaani nikaapo wiki moja tu naona kama mwaka. Nitakuja jan kwa muda mfupi sana
[emoji23] [emoji23] that's a relief nlitaka kutoka mbio. Nakupenda pia my dia Mungu akujalie wewe na shem na akatie mkono wake katika kila mlipangalo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Relax Khantwe wangu,yameshapita haya.
And I wish ungeniona hapa ninavyocheka.
Niko happy kuliko unavyofikiri...
Wewe na wa aina yako hamjawahi/hamnikeri,nawapenda sana.[emoji8]
Haha tulia basi binamu, si unanijua vizuri eeeehbinamu bado wewee
Na bado januari, ukienda uswahili watu wanalala nje kama kondooHa haha....tunaivaa tuu na hili jotoo..
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Relax Khantwe wangu,yameshapita haya.
And I wish ungeniona hapa ninavyocheka.
Niko happy kuliko unavyofikiri...
Wewe na wa aina yako hamjawahi/hamnikeri,nawapenda sana.[emoji8]
thank u hny...am happy happy for uAwwwwww thank you dearest Sisy
Asante kwa kila kitu geniveros tumekuwa marafiki wa muda mrefu sana.
Wewe ni rafiki yangu wa kwanza kabisa nilipojiunga JF,nakumbuka uliniambia unanipenda sana...hadi leo unaniambia maneno yaleyale!
Niseme nini?Nakupenda zaidi gen,nawe wajua hili vyema.
Nakushukuru sana,sana.
Will always love you [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Allahumma Amiyn [emoji120]
Jazakallah Kharyan
that's my gal nifah[emoji8] [emoji8] [emoji8]Nimetafakari sana nikujibu nini,kwanza sikujui na sijui lengo lako hasa la kusema yote haya ni nini.
Anyways... Tuseme wewe ni ex kweli,so what?
Kwani umesikia nilimuambia The bold mimi ni bikra ili iwe ajabu mimi kuwa na ex?
As long as sikumuambia hivyo that means ninao exes,na kuwa na exes sio kosa la jinai bali kosa ni kuendelea kupasha viporo na exes.
My dear,kama ulifikiri comment yako hii itavuruga chochote baina yetu umefail,ananijua vyema,anajua ni jinsi gani namaanisha kwake.
Nipo committed nae,I won't cheat him.
Wakati wako ulishapita,huu ni wakati wake sasa.
So my dearest ex,can you leave us alone pls?
Yani watu sijui mkoje! Na kwa kutambua hili tulishajipanga mapema kukabiliana na wale wote kama wewe,hamtoweza asilani.
#TheBoldIsMine#
[emoji15] [emoji15] [emoji15] don't be like that please ...Hahaha nilijua tu nitaitwa hater! Sasa hapo ninachohate ni nini? Au why niwe hater?
Hebu nipe sababu moja tu ya Mimi kuwa hater. Nimekosa nini hapo unapopababaikia?!
Amen [emoji120][emoji23] [emoji23] that's a relief nlitaka kutoka mbio. Nakupenda pia my dia Mungu akujalie wewe na shem na akatie mkono wake katika kila mlipangalo
kaka acha tu mambo mengi!We ye mrembo upo ? kitambo sana kwema huko ?
thank u hny...am happy happy for u
kutoka ndani ya sakafu ya moyo wangu!
nakuombea sana sana Mungu awapaiganie ktk hili shetani yupo nanyi.
mtapata changamoto nyingi ndani na nje ya jf...
sio kila mtu anawapenda kidhati hilo mlitambue..
kuna wanafiki pia na visokorokwinyo watakaoingilia mapenzi yenu
Ila nifah we ni mwanamke pigania mumeo ndoa ni sacrifice...
hakusemaga jina Ila nilikua natamani kumjua japo hakunitajiaDuuuuhh kumbe siku nyingi amekuchana ananipenda, basi amenisumbua sana mpaka kusema YES, kupiga piga kona sana yani [emoji23] [emoji23]
Usijali Sista, I really love her! Mdogo wako yuko kwenye mikono Salama kabisa..
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji7] [emoji7] [emoji7]that's my gal nifah[emoji8] [emoji8] [emoji8]