Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Ha haha lema??
Njoo huku...
Mambo mazuri yahusike....
Mkuu nimekuwa mlowezi huku, ninapofika korogwe tu kama naja Dar, natamani nigeuze Ar...joto linanishinda siku hizi, yaani nikaapo wiki moja tu naona kama mwaka. Nitakuja jan kwa muda mfupi sana
 
Nimetafakari sana nikujibu nini,kwanza sikujui na sijui lengo lako hasa la kusema yote haya ni nini.

Anyways... Tuseme wewe ni ex kweli,so what?
Kwani umesikia nilimuambia The bold mimi ni bikra ili iwe ajabu mimi kuwa na ex?

As long as sikumuambia hivyo that means ninao exes,na kuwa na exes sio kosa la jinai bali kosa ni kuendelea kupasha viporo na exes.

My dear,kama ulifikiri comment yako hii itavuruga chochote baina yetu umefail,ananijua vyema,anajua ni jinsi gani namaanisha kwake.
Nipo committed nae,I won't cheat him.
Wakati wako ulishapita,huu ni wakati wake sasa.

So my dearest ex,can you leave us alone pls?
Yani watu sijui mkoje! Na kwa kutambua hili tulishajipanga mapema kukabiliana na wale wote kama wewe,hamtoweza asilani.

#TheBoldIsMine#
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shogangu don't you think you are little harsh? Nadhani ni masikhara jamani lol tusijekuwa tunaofanya utani hapa tunakukera
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Relax Khantwe wangu,yameshapita haya.
And I wish ungeniona hapa ninavyocheka.
Niko happy kuliko unavyofikiri...
Wewe na wa aina yako hamjawahi/hamnikeri,nawapenda sana.[emoji8]
 
Mkuu nimekuwa mlowezi huku, ninapofika korogwe tu kama naja Dar, natamani nigeuze Ar...joto linanishinda siku hizi, yaani nikaapo wiki moja tu naona kama mwaka. Nitakuja jan kwa muda mfupi sana
Ha haha....tunaivaa tuu na hili jotoo..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Relax Khantwe wangu,yameshapita haya.
And I wish ungeniona hapa ninavyocheka.
Niko happy kuliko unavyofikiri...
Wewe na wa aina yako hamjawahi/hamnikeri,nawapenda sana.[emoji8]
[emoji23] [emoji23] that's a relief nlitaka kutoka mbio. Nakupenda pia my dia Mungu akujalie wewe na shem na akatie mkono wake katika kila mlipangalo
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Awwwwww thank you dearest Sisy
Asante kwa kila kitu geniveros tumekuwa marafiki wa muda mrefu sana.
Wewe ni rafiki yangu wa kwanza kabisa nilipojiunga JF,nakumbuka uliniambia unanipenda sana...hadi leo unaniambia maneno yaleyale!
Niseme nini?Nakupenda zaidi gen,nawe wajua hili vyema.

Nakushukuru sana,sana.
Will always love you [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Allahumma Amiyn [emoji120]
Jazakallah Kharyan
thank u hny...am happy happy for u
kutoka ndani ya sakafu ya moyo wangu!
nakuombea sana sana Mungu awapaiganie ktk hili shetani yupo nanyi.

mtapata changamoto nyingi ndani na nje ya jf...

sio kila mtu anawapenda kidhati hilo mlitambue..

kuna wanafiki pia na visokorokwinyo watakaoingilia mapenzi yenu

Ila nifah we ni mwanamke pigania mumeo ndoa ni sacrifice...
 
Nimetafakari sana nikujibu nini,kwanza sikujui na sijui lengo lako hasa la kusema yote haya ni nini.

Anyways... Tuseme wewe ni ex kweli,so what?
Kwani umesikia nilimuambia The bold mimi ni bikra ili iwe ajabu mimi kuwa na ex?

As long as sikumuambia hivyo that means ninao exes,na kuwa na exes sio kosa la jinai bali kosa ni kuendelea kupasha viporo na exes.

My dear,kama ulifikiri comment yako hii itavuruga chochote baina yetu umefail,ananijua vyema,anajua ni jinsi gani namaanisha kwake.
Nipo committed nae,I won't cheat him.
Wakati wako ulishapita,huu ni wakati wake sasa.

So my dearest ex,can you leave us alone pls?
Yani watu sijui mkoje! Na kwa kutambua hili tulishajipanga mapema kukabiliana na wale wote kama wewe,hamtoweza asilani.

#TheBoldIsMine#
that's my gal nifah[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Hahaha nilijua tu nitaitwa hater! Sasa hapo ninachohate ni nini? Au why niwe hater?

Hebu nipe sababu moja tu ya Mimi kuwa hater. Nimekosa nini hapo unapopababaikia?!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] don't be like that please ...

haina haja bwana..

ulikua wapi siku zote hizoo...
aiseeh
 
[emoji23] [emoji23] that's a relief nlitaka kutoka mbio. Nakupenda pia my dia Mungu akujalie wewe na shem na akatie mkono wake katika kila mlipangalo
Amen [emoji120]
Ubarikiwe Khantwe mpenzi,Mungu akubariki ktk mahusiano yako pia.
 
thank u hny...am happy happy for u
kutoka ndani ya sakafu ya moyo wangu!
nakuombea sana sana Mungu awapaiganie ktk hili shetani yupo nanyi.

mtapata changamoto nyingi ndani na nje ya jf...

sio kila mtu anawapenda kidhati hilo mlitambue..

kuna wanafiki pia na visokorokwinyo watakaoingilia mapenzi yenu

Ila nifah we ni mwanamke pigania mumeo ndoa ni sacrifice...

Awwwwww jamani gen,nakupenda mnooooo, yani sana sana.

Asante kwa ushauri mwanana kabisa,nitaufanyia kazi na kuzingatia kila neno uliloniambia.

Nimejisacrifice kwa penzi hili,tutadumu na you'll be proud of me Sisy.

Thank you [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Duuuuhh kumbe siku nyingi amekuchana ananipenda, basi amenisumbua sana mpaka kusema YES, kupiga piga kona sana yani [emoji23] [emoji23]

Usijali Sista, I really love her! Mdogo wako yuko kwenye mikono Salama kabisa..
hakusemaga jina Ila nilikua natamani kumjua japo hakunitajia

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kawaida ya binti kupiga kona si unajua jf msitu lazima uwe makini

kuna watu na nyang'au humu pia

nimefurahi kujua hilo and I do promise u ntashirikiki kikamilifu ktk ndoa yenu...

msingi taarifa tu!!!
 
Back
Top Bottom